Lema: Nitabeba zigo la mabilioni ya Uswisi

Lema: Nitabeba zigo la mabilioni ya Uswisi

Nasikia hawezi tena kwenda Uk kwa sababu anatafutwa kwa kesi ya kujaribu kubaka, kwa hiyo akikanyaga UK tu na ubunge ndio basi manake atafungwa na sizani kama katiba ya tanzania inaruhusu wahalifu kuwa wabunge

Mbona serikali ya CCM imejaaa wahalifu tu, wezi wa EPA, RADA, RICHMOND, MEREMETA, WAFICHA FEDHA USWISS, wezi wa pembejeo za kilimo, wahujumu uchumi! Mbona hawafutwi uongozi? Achana na Lema si saizi yako!
 
Spika atampa hiyo nafasi?

Ushauri wangu ni kuwa afanya kama alivyofanya Dr. Slaa alipotutajia ile list of shame pale Mwembe yanga.

kweli, sio lazma atajie bungeni. zito mpe lema hilo bomu kama wew huwez kulirusha. dah, ccm kwa huyu lema kazi mnayo. mpaka kufika 2015 ccm mtakuwa nyakanyaka.
 
Lema ana guts za kutaja, jamaa si muoga kabisa!
 
ni jibu sawia kwa wale, waliokuwa wanajiuliza kwanini? ZZK haungani na makamanda wenzake kwenye M4C , nadhani mmepata jibu, kila kiongozi na sehemu yake huku movement zikiendelea .wakati wa kuonyesha movement za ZZK zinavyohitajika ndo hapo makamanda wenzake wanapomtaja kwa wakati na nini? anacho watakachokitumia sehemu gani? ZZK yuko juu si mtu tena wa majukwaa ya kupasha joto wananchi yy ni mtu wa kupasha joto, watawala dhalimu wasiowajibika yaani mtu wa kuchimba kusiko chimbika .makamanda wenzake wanajua kazi gani? anafanya za kikamanda wapo tayari kupokea na kuwakilisha kwa wanannchi kwa maana ya majukwaaa ya viwanja vya wazi.
 
Wewe unaweza kuhamasisha maandamo kazi ya kutaja majina na kudandia hoja za Zito ambaye unampinga kila kukicha muachie mwenyewe Zito anajua cha kufanya. Kama ulikuwa na hamu ya kuyataja mbona hukutafuta iwe single yako?
 
Tatizo kamanda hawezi kuingia europe anatafutwa na polisi uk

jamani tuwe serious na kuruhusu akil zetu kufanya kaz. Ivi Lema nae ni wa kutafutwa? Especially kwa ishu sirias tajwa? Labda sifaham maana ya kutafutwa
 
Kamanda sio tu kutaja ni kuzikomboa (recoup) ndicho tunachotaka. Majina hayatakidhi sana kiu yetu.
 
MAKAMANDA TUPO NYUMA YAKO
Mungu yu nawe kama Musa jangwani alipopambana na firauni
 
Nasikia hawezi tena kwenda Uk kwa sababu anatafutwa kwa kesi ya kujaribu kubaka, kwa hiyo akikanyaga UK tu na ubunge ndio basi manake atafungwa na sizani kama katiba ya tanzania inaruhusu wahalifu kuwa wabunge
Tulipokuwa JKT kuna maafande walikuwa wakitutukana kwamba akili etu hazina ubongo bali zina kamasi. Hili neno lilikuwa likiniudhi sana. Nilishangaa inakuwaje mtu aliyeishia darasa la saba anadiriki kusema kuwa mtu aliyemaliza kidato cha sita tena akafaulu eti anatumia kamasi badala ya akili"
Lakini leo kwa hoja kama hizi, nafikiri wale maafande walikuwa right' Ndugu BK hebu pamoja na ushabiki na chuki zako kwa Lema basi utumie walau sehemu kidogo ya akili. "kama huna kabisa basi nyamaza ufiche unga wako"
 
we unatumia akili?? mnataka jtuteka akili zetu watz tumeamka nyie wezi tuu
 
Wewe unaweza kuhamasisha maandamo kazi ya kutaja majina na kudandia hoja za Zito ambaye unampinga kila kukicha muachie mwenyewe Zito anajua cha kufanya. Kama ulikuwa na hamu ya kuyataja mbona hukutafuta iwe single yako?

hicho ni kipimo cha wanafiki kama ninyi mnaokuja na hoja bandia kujipatia umaarufu, sasa mmeleta hoja lakin mnaiogopa i mean mnakimbia kivuli chenu! Mpeni sasa mwanaume wa shoka hayo majina muone kazi. Nyambaffffffffffffffff
 
Back
Top Bottom