Lema: Nitabeba zigo la mabilioni ya Uswisi

Lema: Nitabeba zigo la mabilioni ya Uswisi

ALIKUWA ANATAKA Kumbaka
Flora Bahati Lyimo baada ya mkutano wa kufungua tawi london nasikia
alinyweshwa pombe akawa chakari
Vipi bado mnahitaji details nyingine?

Unaonaje ukampa ww kwa gharama zang mm? maana inaonekana kinakuwasha na una wivu
 
Lema anataka umaarufu wa
muda. Anajua kabisa bunge lijalo ni lazima serikali watoe jibu la
uchunguzi wanaufanya.

Umaarufu anao cku nyind had watoto wanamjua, kama huna cha kusema kakojoe ulale
 
Kungekua na kina Lema kama 25 , tungekaua mbaliii sanaaa.. ZZK ushirikiano wako unahitajika katika hili swala la msingi na lenye tija kwa Tanzania yetu.
 
Huyu jamaa ananikumbusha wale
wapigania haki wa South Afrika ambao walijitolea maisha yao kwa ajili
ya ukombozi.

True huwez kumfananisha na vilaza wa ccm, Nepi/Nape na Mwigulu/mzinzi
 
Najivunia chama changu
CDM,najivunia makamanda
Lema,Lissu,Nassari,Heche,Wenje,Msigwa,Sugu,Kigaila,Mawazo,ila Lema
namfananisha na Mandela,kila la heri kamanda Lema

Big up muungwana wangu! ukisema ukweli ni raha inakuweka huru.
 
Hebu ondosha mawazo yako ya kitoto hapa usije nisababishia Mi ban bure,,,,,,,,,,,,,,,,,,member kama huyu ni jamii ya kina Ritz na lile genge lake!!!!!!
Mkuu mtu kuulizia ahadi alizozitoa mbunge wake ni utoto?
 
Last edited by a moderator:
achen ushabiki usio kuwa na maana!
Ebu nitajien mchango wa huyu mtu katka tanzania hii maana wengine ni washabiki tu.TAHADHAR kwa vijana wenzang endapo tkichulia siasa kama mancheste & arsenal hatutalifika lengo,si katai kukishabikia chama chako ila cha msing tuangalie hawa viongozi tunaowashabikia wana uwezo kiasi gani mfno nimesikia vijana weng tu wakimlinganiasha zzk na lema! Hii sawa kweli?
 
hv huo ukamanda mnautoa wapi?

ukamanda unatokana na ujasiri, ushujaa wa kusema kile anachoamini, ukweli kutoka moyoni bila kuuma maneno na pia ushupavu ulioambatana na kujitoa mhanga kuwaokoa wengine kutokana na mirija ya ubunafsi, ufisadi na ubabe wa wenye dola.

MWAKA HUU MPYA 2013 LEMA ULINDWE NA MIKONO SAFI YA MWENYEZI MUNGU NA AMPE USHINDI KIDOGO SANA ADUI KAMA ALIVYOSHINDWA MWAKA 2012 ALIPOKUPOKA UBUNGE NA KUJISIFU KWA SHEREHE NA VIFIJO.
 
VIJANA wengi tunakuamini Lema. usituangushe. ukifa kwa sababu ya kuwatetea watanzania utabaki unaishi milele katika mioyo yetu.

HUONI HATA MAFISADI WANAJINADI KWA JINA LA NYERERE?
 
Mtu anaweza akazini kwa siri,lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri-Kamanda Lema
 
Mimi siungi mkono, hoja ya Lema kuomba majina ya USWIS toka kwa Zitto. Zitto anatakiwa kumaliza huo mchezo.
 
Back
Top Bottom