Lema: Nilifunga kula kuliombea Taifa

"Nilifunga kuliombea taifa"… .Maneno matatu tu ila yana ubora mara 1000 zaidi wale wanaotokwa na povu humu ndani kwa kubeza ulichokisema najua sio level zako hivyo hutakiwi kuwajibu.
wenye akili wamekuelewa mkuu
 
Ukamanda wa kuandamana
 
Una uhakika.kama.alisema.hivyo? Haya aliyosema leo tumesikia wote na kina video clip, hayo ya juzi alisemea wapi? Tumwamini nani, Lema muhusika mwenyewe au wewe wa JF.
Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika ndiyo uje hapa.
 
Ya kuzira kula Au?what do you expext to get from a shabby police cell?usipokula chooni unafuata nini?vyoo tu vya nje pale central kama unaenda Traffic case vina( stink )pungent/chocking smell unatarajia nini kile cha mahabusu?Carpet?
Kunyea debe
 
Kuna KILAZA mmoja wa ccm alisema atamfungulia mashtaka ya kutaka kujiua kwa kutokula msosi....sasa akamfungulie mashtaka km anataka kiki...tehtehteh
 
Mungu hasikilizi maombi ya mwenye dhambi akiyasikiliza ni maombi ya kuomba mungu amsamehe dhambi zake sio ya kuombea taifa lema asizuge
Wewe punguani mwenye uwezo wa kuhukumu ni Mungu pekee.
 
Lema ni shujaa wetu Mungu azidi kumlinda siku zote.
 
aisee hakikishen mnakula kushnda na njaa marufuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…