LEMA ni zaidi ya MALEMA!

Jimbo la Arusha kwa Chadema! Lainiiiii Kama Maini!
 
ndio nashangaa CUF wanasema wamekuja kuvunja kambi ya Chadema........

Hivi inawezekana Mfupa (CDM) uliomshinda fisi (CCM) paka (CUF) akautafuna kweli?! mbona zama za miujiza zimekwisha!
 
Hivi inawezekana Mfupa (CDM) uliomshinda fisi (CCM) paka (CUF) akautafuna kweli?! mbona zama za miujiza zimekwisha!

mbaya wanafunzi wote watakaokuwa na miaka 18 by 2015 wana hamu kubwa sana ya kuiweka cdm madarakani.Hii ni hazina ya vijana wa CDM kam reserve ya Jeshi.Achilia mbali watoto wadogo wa kuanzia chekechekea wanaopenda nyimbo na bendera za CDM kwa hiari yao na si kama chipukizi wa kipindi kile.
 
haki haiwezi kuzuiliwa na ccm hata siku moja ila ukweli utabaki pale maana nchi hii sio ya ccm bali ni ya wanannchi hawa tuliowaweka madarakani wanatuona kama sisi hatuna akili
 

Embu rekebisha hilo tusi, lema sio jembe. Lema ni wa ukweli. we unajua sifa za jembe? Jembe linatundu nyuma, halifanyi kazi mpaka litiwe mpini tunduni, na nilazima uzamishe mpini wote, kisha kazi inaanza.
 
off course Lema ni mwanaume wa ukoo wa Lema na Ma-Lema ni mwanamke wa ukoo wa Lema.Nadhani tutaelwana haya yakiwa sawa .
 
 

matola acha basi,kweli ccm wamtake lema washindwe?hawajamtaka wakimtaka dakika 5 wanampoteza na itakua historia kuwa arusha kuna mtu alikua mbunge anaitwa lema tok cdm,ogopa dola kaka popote duniani,dola ikikuamulia unapotezwa maramoja.
 

asante chama,umemaliza kazi,umeyanena yale yaliyo moyoni mwangu,umefunga dimba mkuu na mechi imekwisha.
 
lema pia ni mchungaji na anapendwa sana na watu wa arusha vile anawachunga watu wake wa arusha
 
asante chama,umemaliza kazi,umeyanena yale yaliyo moyoni mwangu,umefunga dimba mkuu na mechi imekwisha.

Kwa wamachame na Lugha yao "Lema ni mwanaume wa ukoo wa Lema na Ma-Lema ni mwanamama wa Ukoo wa Lema" so si sahihi baba akawa anarudi nyuma ili mama aende linda familia.
 
Umeota mchana, mbona kwenye kesi ya chenge aliyegonga sikuona hata sisimizi? au unataka kutukumbusha nchimbi alivo furumushwa na maandamano ya wana habari, unajichora tu

Yale maandamano ya wanahabari yalikuwa Lema?

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Ahaaa mkuu Matola kama mtu kukuuliza utakuwa wewe ni afadhali nikae na upumbavu wangu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Umhhh, pengine ni exaggeration kumlinganisha Lema na Malema. Malema amekuwa akisimamia itikadi akitaka serikali imeliki uchumi ili watu wa chini wafaidike na hii ndiye iliyomfanya amuunge mkono Zuma na kumkacha Mbeki. Sasa Lema sio ideological. Yeye ni mhamasishaji. Hata ukienda ukawauliza vijana pale Arusha kwa nini mnapenda Lema, wataishia kukwambia ni jembe, kiboko, n.k., lakini hawatakwamba kitu cha kushikika. Hata hapa JF waambie watu wakwambie kwa nini wanasema Lema ni jembe hawatakwambia zaidi ya kukwambia ana msimamo, jembe. Ukiwauliza msimamo wa nini ni swali gumu kabisa! Kwa hiyo kwamba kulinganisha watu hawa ni kulinganisha kichuguu na mlima! Tuendelee kumpenda Lema wetu lakini sio lazima tumlinganisha na wanasiasa nguli kama akina Malema.
 

Ni vizuri, umejitahidi kuonyesha upande wa pili wa shilingi, lakini mbona unazunguka mbuyu? Tafadhali toa mifano yenye uhalisia na ikiwezekana vielelezo. Vinginevyo unaonekana kama unataka tu kumchafulia Lema kwa kuweka hapa JF hisia zilizojaa harufu ya uovu.
 

A GREAT THINKER? rudisha hela za nepi alizokupa mana kazi yake umeshindwa kuifanya kwa ufasaha,NO RESEARCH,NO CORRECT DATA NO RIGHT TO SPEAK.mkajifungie tena pale lumumba mjipange upyaa!
 
Ahaaa mkuu Matola kama mtu kukuuliza utakuwa wewe ni afadhali nikae na upumbavu wangu!

Chama
Gongo la mboto DSM
Kujijuwa tu kama wewe ni mpumbavu pia ni hatuwa kubwa, hongera kwa hilo utakuja kuelewa tu.
 
Arusha wote chadema wahuni wa ccm hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…