Ndio kitu ulichopenda kiwe hivyo.HUjaona nimekuambia kuwa si wengi, hasa wale wenye maslahi ktk nyumba za uridhi zenye wakfu.Kwani huko mara nyingi CCM na msikiti ndiye msuluhishi na wala si mahakama.Hawa ni vigumu kuiona CDM popote,kwani kuwaingia CDM ni kukosa favour katk hizi kesi.
Machalii wa Arusha mkishapata supu za ulimi wa ng'ombe mnakaa kwenye vijiwe vyenu na kuanza kumsifia Lema, bila sababu kumfananisha Lema na Malema, ni sawa na kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.
Mr Rocky,
Sijui ni wapi nimetoa matusi dhidi ya watu Arusha, nilichosema vijana wengi wa Arusha hawana ajira ili sio tusi wa dhihaka, mfano umeuona jana mahakama kuu Arusha.
Wale vijana wafuasi wa Chadema waliokusanyika mahakama kuu ya Rufaa kanda ya Arusha, wengi hawana ajira, kama wangekuwa na ajira wala wasingekwenda kushinda mahakamani, hakuna muajiri ambaye anaweza kutoa ruksa kwa wafanyakazi wake kwenda kushinda mahakamani.
Wngekuwa kwenye miradi yao ya uzalishaji au viwandani, mashambani, wasingekuwa na muda wa kwenda kushinda mahakamani.
Unafanya makosa makubwa sana unapo inasibisha CCM na Uislam, ndio maana watu wanapata kuinasibisha Chadema na Ukiristo mkuu, achana na siasa za udini.
Ritz kuwaambia watu kuwa wote walioenda mahakamani hawana ajira au miradi ni tusi kwa watu wa arusha. Wanaishije hapa mjini kama hawana kazi au wanakula nini, watoto wao wanawasomesha na nini. Tatizo ni story za vijiweni kuwa arusha wapo vijana wengi wasio na kazi wanakaa vijiweni na mnaamini hayo. Hakuna mji usio na hao vijana wakaa kijiweni. Na wanaompenda Lema sio vijana wa kijiweni ni wenye kazi zao na miradi yao na wanajishighulisha na kazi zao na wanatenga muda wao kwenda kusikiliza kesi. Kwa hiyo unataka kuniambia hata chama chako kikifanya mkutano wakija vijana utawasema ni wa kijiweni. Au kwa kuwa ni CDM ndo unawaambia hawana kazi wala miradi. Acha unazi bana.
Inategemeana na aina ya viajana wanaobeba mabango hayo. JULIUS MALEMA mimi ninavyojua, huwa vijana wazee na makundi mbalimbali wanaacha kazi maofisini, biashara zao na kwenda kumsikiliza. Ni aibu kubwa sana kufananisha kazi anayoifanya JULIUS MALEMA kwa waafrika kusini na huyu jamaa wa arusha. LEMA ana mambo mengi sana anayojificha kupitia kivuli cha siasa. umaarufu wa LEMA hauna hata miaka miwili na kila mtu anajua kabla ya hapo alikuwa anafanyakazi gani tena kazi zinazohatarisha maisha ya raia wasiokuwa na hatia. Binafsi najua mji wa arusha unaweza kuwa wa kwanza kwa matukio ya uhalifu , so LEMA lazima atakuwa na marafiki wengi sana wanaotaka kujificha kupitia yeye na kwa maana hiyo wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana katika kufanya fujo na ikaonekana kuwa anashangiliwa LEMA.
Mr Rocky,
Sijui ni wapi nimetoa matusi dhidi ya watu Arusha, nilichosema vijana wengi wa Arusha hawana ajira ili sio tusi wa dhihaka, mfano umeuona jana mahakama kuu Arusha.
Wale vijana wafuasi wa Chadema waliokusanyika mahakama kuu ya Rufaa kanda ya Arusha, wengi hawana ajira, kama wangekuwa na ajira wala wasingekwenda kushinda mahakamani, hakuna muajiri ambaye anaweza kutoa ruksa kwa wafanyakazi wake kwenda kushinda mahakamani.
Wngekuwa kwenye miradi yao ya uzalishaji au viwandani, mashambani, wasingekuwa na muda wa kwenda kushinda mahakamani.
Makosa yepi sasa wakati waislam wanasema wazi mtaa wa bondeni, kaloleni, bondeni etc?CCM ndio waasisi wa udini na wazee wa Dar wapo wazi kuwa wao ndio walianzisha TANU na kumkaribisha Nyerere, na ilifika mahali Nyerere akawa anafunga na kufuturu nao ili afanane nao?Hujasikia hayo?Hujasikia ukanda toka matamko makubwa kule Kibaha?NA mwan amafalme alisema hayo?
Uislam na CUF na CCM si jambo la kuuliza kwa wazee wa chama wa mikoa yote walipo mjini.
CDM hawajawahi tangaza sera kama hiyo na hakuna wafanyapo kwa vitendo.ndio maana wahanga wake makubwa utakuta kuna waislam wengi.CDM hawana Kampeni za makanisa wala misikiti.Sasa hivi CCM wameamua kuingilia hadi makanisa ili kupata kura kwa minajili ya kidini,Rostam anakwenda honga wanakwaya, sasa hivi radio iman wanatangaza wazi CDM wakiingia itaani nao(waislam) wataingia kupambana nao.CUF wanaingia na "muislam" anayejidai kuwa mchungaji halafu wanaweka Sheikh wa kweli.
cuf watashindana na hawatashinda
Samahani tu mkuu wangu labda tu ungeniambia na wewe unayeshinda hapa JF huna kazi/ajira? au hapa ndio upo kazini?
Mkuu hata huku Kimara kuna makanisa jirani na kwa rafiki yangu wanasema wazi chama chetu ni Chadema, wanasema eti Chadema kuna Wachungaji pamoja na Padri ndio kimbilio lao. mie niliwasikiliza nikaamua kuwapuuza tu.
Ritz sikuwahi kufikiri kama unaweza kuwa na mawazo kama haya.....unatufahamu vijana wa Arusha vizuri kweli....? what if nikikwambia tulipata ruksa kutoka kwa waajiri....au tulikuwa nao huko...? au tulikuwa na wateja wetu huko biashara tutafanya bdae....? unatambua shughuli muhimu zinazofanywa kwa wingi na vijana wengi wa Arusha...? nijibu kwanza ndio tuendelee....
Preta,
Tatizo la ajira kwa vijana ni la Tanzania nzima sio Arusha tu, Arusha naijua vizuri kuna vijana wapo wanafanya vizuri lakini sio wote, vijana Arusha wengine wapo migodini wengine mbugani wengine biashara za magari na wengine wapo mitaani ambao ndio waliojaa pale mahakama kuu.
Preta,
Tatizo la ajira kwa vijana ni la Tanzania nzima sio Arusha tu, Arusha naijua vizuri kuna vijana wapo wanafanya vizuri lakini sio wote, vijana Arusha wengine wapo migodini wengine mbugani wengine biashara za magari na wengine wapo mitaani ambao ndio waliojaa pale mahakama kuu.
Kwa hiyo unataka fananisha haya na kauli za CUF na CCM kwa waislam,Wazee wa Dar(wakiislam wanaodai TANU ilianzishwa na uislam) walio na session maalumu na kila raisi wa CCM aingiaye.Sidhani Kama CDM walishawahi bembelezana na dini yoyote na kupeana ahadi kwa minajili ya kidini?Kama sijui mahakama ya kadhi,kuwawekea baraza Bakwata ila si kuwawekea maraza la Maaskofu.walichoweza ni kuweka mamluki makanisa dhaifu sana.
Kwa ujumla CDM ndio chama kisichoenda enda mbali ktk minajili ya dini zaidi ya kuwapa heshima zao, kuwakaribisha ili kuweka baraka kwa watu wote.
Kwa hiyo unataka nipuuze hayo yote pamoja na uamsho?
basi mkuu Ritz....mimi nilikuwa mahakamani na niliondoka pamoja na wafanyakazi wenzangu.....na nilipata ruksa toka kwa mkoloni....ambaye anajua maana ya ukombozi ni nini......
Mkuu usitake tuanze kufunga zaidi.