ok-kwasababu agenda zenu zilikuwa za kusubiria makosa ya ccm na kwa kuwa ninyi sasa mmeonyesha udhaifu mkubwa kuliko hata hao CCM(kwa kukosoa ambayo kumbe hata ninyi hamyatekelezi) sijui mtakuja na Agenda gani. Hata hivyo dukuduku letu tungetamani mtutaarifu lini Uchaguzi ndani ya Chama, Lini mtawasilisha kwa CAG mahesabu ya Chama, hatua iliyofikiwa ya Retirement ya 80m alizochukuwa Mbowe kwa ajili ya ununuzi wa vifaa mbalimbali vya M4C(machapisho), ununuzi wa magari ya M4C nje ya taratibu za Tender Board, nafasi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama-je ni volunteer, first lady, au consultant na ni nani ambaye huidhinisha malipo makubwa kwa hawala huyu wa Kigogo
Waulize viongozi wako leo jua lilivyowawakia pale stadium bar..... Walikuwa wanatia huruma sana..... Poor them !!!
Mmewatuma afu wamefeli mbayaaaaaa!
NGOME ina wabunge wawili tu?
Yani sweetlady nakwambia nimefanya total walipokuwepo pale nikapata walikuwa 25 tu!
Hata na wao kwa kweli hawatarudia kufanya mkutano wowote ndani ya Jiji hili la A town.
hivi kwani zitto ni nani????? Chadema bila zitto inawezekana! Mfikishie salamu za upendo...... Mwambie makamanda tupo tunaendelea kujenga chama chetu!
Kwani LEMA na huyo Muhuni Mwenzake wataongea nini cha maana zaidi ya kusema Zitto ni MSALITI? sana sana Lema ataelezea umuhimu wa Posho kwa wabunge teh teh teh!!!!!
Waulize viongozi wako leo jua lilivyowawakia pale stadium bar..... Walikuwa wanatia huruma sana..... Poor them !!!
Mmewatuma afu wamefeli mbayaaaaaa!
Hivi nawe leo ulikuwepo kati ya wale wakata viuno 25 pale stadium bar post?
Kha ha ha ha ha haaaaaaa! Eti Chama cha Demokrasia na Maendeleo hawana jipya? Umeona mafisadi ndiyo wana jipya katika miaka 52 ya uhuru tuliyonayo?
Nakuomba Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema akitujalia kesho fanya uwezavyo fika kiwanja tajwa na ujionee mwenyewe usije ukasema haikuwa hivi ama hivi.
Walaghai wamebakiwa na eneo moja tu,Arusha
Sasa kama wananchi wa Arusha wameichoka chadema, iweje mkutano wa magamba upate watu 25 tu???? Wakati mwingine utumiage akili kidogo.Hakuna Jipya watakalolileta kama kawaida yao, sana sana Mipasho tu, wananchi wa Arusha wameshawachoka hawa wahuni.
nimepita hapo stadium ccm wanakata mauno kama wanalalwa..
LiverpoolFC naona unafurahia kesho VIROBA, UGORO, GOMBA na GANJA sio kitu yakusema taratibu!Yani sweetlady nakwambia nimefanya total walipokuwepo pale nikapata walikuwa 25 tu!
Hata na wao kwa kweli hawatarudia kufanya mkutano wowote ndani ya Jiji hili la A town.
Uongo mwingine bwana niwa kishamba na kitoto...ni kijana gani Arusha asiyemjuwa Ridhiwani kikwete? ??? Vituo vya mafuta unavyomiliki na majengo ya gorofa pale arusha kijana ganu asiyekujuwa? Jifunze kupangilia maneno ya uongo wako otherwise unajiaibisha.Mwezi uliopita nilikuwa Arusha nakaamua kwenda kujichanganya vijiwe vya Chadema maeneo ya Unga Limited.
Nikakuta vijana wanasimuliana kuhusu Lema wanasema Chadema wakiingia madarakani kila kijana atapewa Toyo nne na kulipwa mshahara kila mwezi.
Mimi nikajifanya mwenzao nikawambia Chadema wakichukuwa nchi vijana wote wa Arusha watakuwa mabilionea wale vijana wakaniambia bro! Wewe kweli ni kamanda tunakuheshimu sana, mie sikutaka kuacha wapweke maana mchana nilikuwa nasafiri, nikaamua kuwanunulia supu ya ulimi na viroba walishangilia sana wakaanza kuniita mimi eti bilionea.
Kesho asubuhi makamanda wanakuja Kibo Palace Hotel kuniulizia wanaambiwa jamaa kaondoka asubuhi.
Cc; chama THE BIG SHOW