HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,146
- 96,660
Yataisha yoteAsisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu!
Yataisha yoteAsisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu!
Mwenye hiyo roho kafa nayoakitua airport tu, moja kwa moja jela
Unafikiria wakati huu kuna ujinga wa kipindi cha Magufuli. Usimpenda kaja, na usiowapenda wanakuja. Tanzania mpya ya upendo isiyo na ukanda.akitua airport tu, moja kwa moja jela
Haya mawazo ya kijima mtatembea nayo kwenye vichwa vyenu mpaka lini?akitua airport tu, moja kwa moja jela
Yalichelewa miezi 5tu. Lema ni Nabii, Rudi nyumbani kamandaKaribu nyumbani Bwashee! sala zako na Maono yako yametimia japo sio 2020 ila 2021 kitu kimevuta
Tuliza mshono! Sio kila mtu ana roho mbaya kama marehemu.Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
Anayetenda kwa haki ametenda haki tulia tuko kwenye msiba, hao ni watanzania wenzetu waje nyumbaniWanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
akitua airport tu, moja kwa moja jela
kwa kosa lipi?akitua airport tu, moja kwa moja jela