Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho.
Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless Lema aliandika kwenye mitandao yake ya kijamii kuunga mkono kauli hiyo ya Msigwa
Lema alisema hata yeye hana mpango wa kugombea tena uongozi wa kanda ya Kaskazini na kwamba atamfuata Msigwa huko aliko nje ya uongozi ili wakafanye siasa wote
Hatimaye pamoja na kauli ya Msigwa kuwa ataendelea kuwa kada mtiifu wa CHADEMA lakini amefanya maamuzi magumu ya kuhamia CCM na kwenda kufanya siasa zake za kutumikia Wananchi huko CCM, je Lema atamfuata huko huko CCM alikoahidi kuwa atafanyakazi na Msigwa nje ya uongozi?
Inaonyesha Msigwa na Lema ni Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao wameshachanga karata zao na kujipanga kufanya maamuzi magumu ya kuhama CHADEMA
Pia inaonyesha waliomshawishi Msigwa kwenda CCM ndio hao hao wako pia nyuma ya Lema na kwamba wamemtanguliza Msigwa kwanza ni swala la muda tu na Lema naye ataunga mkono juhudi wakati wake ukifika
Kuthibitisha hilo hata baada ya Msigwa kuasi CHADEMA na kujiunga CCM Lema bado anamlilia na kusema anatamani kuendelea kufanyakazi Msigwa
Ni swala la muda tu baada ya Mchungaji Msigwa kwenda CCM anayefuatia ni Lema kuondoka CHADEMA hatakama hatahamia CCM lakini atakwenda chama kingine cha upinzani
Huwezi kula nauli ya watu halafu useme siendi kama Zuchu, utakwenda tu wa bwana
Nimalizie kwa kusema "comasava"
Pia soma