Lema na Sugu kesho nendeni bungeni

Lema na Sugu kesho nendeni bungeni

hivi jana hawakupitisha hiyo sheria kwa kuuliza anaekubali aseme ndioo na anaekataa aseme siyo?
 
Wapo dodoma tayari kamanda ngoma ndio kwanza mbiiiichiiii jumatatu tunaanza moja mpaka wafukuze ukawa wote

Huyu bi kiroboto nisikutane naye barabarani lazima nimpe body
 
Aisee nimeipenda hiyo ya kwamba Sugu,lema na wenje wapo Dodoma tayari...maskini MaCCM wa nataka kumuharibia bibi makinda CV yake aliyokuwa ameipalilia vizuri... Nina uhakika kutoka moyoni mama hakupenda hii miswaada iletwe ila basi inatakiwa alipe fadhila kwani hayo ndio kati ya masharti aliyopewa wakati anakabidhiwa cheo cha samwel sita. Watanzania tusikubali mafisadi wauze nchi jamani wanatafuta pesa za uchaguzi kutoka MCC WAMEAMBIWA WAKIPITISHA hii miswaada hela zinakuja kutoka MCC kabla ya oktoba

Mkuu hiyo watanzania haswa wale waumini wa lumumba hawana macho wala masikio kwani kazi yao ni kupiga vigeregere tu.
 
J3 wapinzani waendelee kuzuia huo muswaada .Pamoja na Kinana kuwalipua wabunge wa ccm kwamba wana pitishapitisha tu sheria zinazoumiza wananchi bado yanaendelea kukubali

Kinana ni msanii kuliko hata jotii
 
Aisee nimeipenda hiyo ya kwamba Sugu,lema na wenje wapo Dodoma tayari...maskini MaCCM wa nataka kumuharibia bibi makinda CV yake aliyokuwa ameipalilia vizuri... Nina uhakika kutoka moyoni mama hakupenda hii miswaada iletwe ila basi inatakiwa alipe fadhila kwani hayo ndio kati ya masharti aliyopewa wakati anakabidhiwa cheo cha samwel sita. Watanzania tusikubali mafisadi wauze nchi jamani wanatafuta pesa za uchaguzi kutoka MCC WAMEAMBIWA WAKIPITISHA hii miswaada hela zinakuja kutoka MCC kabla ya oktoba

Mkuu huyu makinda nilini alipata hiyo cv mzuri hapo bungeni?
 
Leo makamanda wa ukweli katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wamefukuzwa Bungeni.

Kwa hiyo nawasihi makamanda wengine kama Lema na Sugu, kesho waende bungeni wakaongeze nguvu iliyopungua.

Sisi wananchi tuliyo wengi tunaamini Lema, Sugu wakienda bungeni wakishirikiana na makamanda wengine kama vile Wenje, Halima Mdee, Moses Machali, James Mbatia na kamanda mkuu wa kikosi chote cha UKAWA Freman Mbowe akikisheni hi sera ya gesi na mafuta haipitishi Bungeni kwa manufaa ya nchi.

Ni kamanda watanzania tupo pamoja na wabunge watetezi wa maliasili zetu.
 
Kesho moto wa Lema,Nassary,Wenje,Halima mdee ,Mbowe n.k watakuwepo bungeni hakuna muswada kupitishwa kihuni tena mwambie Obama kimeshanuka bungeni

Kweli hiyo mkuu,labda maccm wakitaka waupitishe pekee yao,na historia itawahukumu
 
Wembe ni ule ule wakifanya vurugu watasimamishwa kushiriki vikao vyote.

Wewe wacha kutumika kuhujumu rasilimali za taifa,kwa hizo buku 7 ndio umeamua kuwasaliti watanzania 45 million?
 
Wapi Mbowe? Timu nzima ya UKAWA inabidi washuke mjengoni kesho kuanzisha varangati la nguvu, ila mjue kesho TBC hawataonyesha kitu kwani hawa wahuni hawatataka tuuone uhuni wao.

Hawa TBC lazima wajue kuwa mishahara wanayolipwa ni kodi za watanzania wote na siyo wana ccm pekee yao,siku zao hao zinahesabika
 
Umemuuliza swali zuri sana, yeye kasahau kuwa Mwenyekiti wake wa Chama JK amepangiwa Jumatano ijayo ambayo ni tarehe 8 akalivunje bunge.

Kwa hiyo imebaki kama siku moja na nusu ya mijadala ya bunge kabla halijvunjwa rasmi.

Kwa hiyo hayo masaa machache sana yaliyobaki ya uhai wa bunge, nawaaminia makamanda wetu akina Mbowe,Lema,Sugu,Wenje, Kafulila,Nassari, Halima Mdee na wengineo wa Ukawa watakomaa kisawaswa kuhakikikisha hawa maccm hawatufungi wananchi goli la mkono kwenye miswada hiyo ya gesi na mafuta.

Mkuu nape kesha tutangazia kuwa lazima walazimishe
 
Jana nimemsikia mnyika anasema kuna vifungu katika sheria hizo havibadiliki yaani ina maana wakiamua leo ccm wanazifunga mpaka serikali zijazo yale yale ya kwenye madini
Inasemekana hivyo vipengele baada ya kupitishwa miswada hiyo na kuwa sheria, vifungu hivyo havipaswi kubadilishwa kwa miaka 100 ijayo!
 
Jana nimemsikia mnyika anasema kuna vifungu katika sheria hizo havibadiliki yaani ina maana wakiamua leo ccm wanazifunga mpaka serikali zijazo yale yale ya kwenye madini

Maccm yamezoea kupitisha pitisha bora liende
 
hivi jana hawakupitisha hiyo sheria kwa kuuliza anaekubali aseme ndioo na anaekataa aseme siyo?
Walikuwa wanaendelea kuijadili, wameiweka kiporo hadi J'3 ambapo ndiyo wamepanga kutufunga goli la mkono!
 
Kama kuna kupigana sawa, Lema na Sugu wanaweza saidia, lakini mambo ya hoja na data za kitaalam! hao watu wala usiwategemee hawana uwezo huo.
 
Kama kuna kupigana sawa, Lema na Sugu wanaweza saidia, lakini mambo ya hoja na data za kitaalam! hao watu wala usiwategemee hawana uwezo huo.

Wabunge aina hio ccm ndio kwao, Kessy, Mlata, Lusinde ....endekeza list utajaza makapu 12.
 
hii nchi inaelekea kuanguka.maccm yanaitafuna mpaka mifupa
 
Hivi hatuwezi waalika Alshabab wakatoe dozi ya risasi kwa miCCM pale bungeni?
 
Watanzania ndio akili zetu zilipoishia hapo.. Kwahiyo wote wakifukuzwa then miswada maCCM wakiipitisha itakuaje?? Tunawaona wabunge wetu wakipambana kule ndani, vipi sie huku nje mbona hatuonyeshi kujali??

Yaani miTanzania tunashindwa hata kujikusanya Jumatatu tutie timu wizara ya Nishati au Ikulu sie tumekalia majungu kwenye mitandao.. No wonder CCM ikishinda kwa kishindo tena uchaguzi mkuu huu. Sijui tumelaaniwa na nani sisi..

VERY NICe POINT
 
Wakienda kuleta vurugu wembe ni ule ule...wanakatwa posho na mishahara +kusimamishwa kushiriki vikao bungeni!

Kwa hiyo washaurini wakawe wapole!
 
Back
Top Bottom