Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Toka lini mbowe kawa kamanda mkuu wa Ukawa.
mbowe ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ambayo inaundwa na ukawa nadhani umeanza kuelewaelewa
Toka lini mbowe kawa kamanda mkuu wa Ukawa.
Umemuuliza swali zuri sana, yeye kasahau kuwa Mwenyekiti wake wa Chama JK amepangiwa Jumatano ijayo ambayo ni tarehe 8 akalivunje bunge.zimebaki siku ngapi bunge kuvunjwa rasmi wewe bibi?
Wapo dodoma tayari kamanda ngoma ndio kwanza mbiiiichiiii jumatatu tunaanza moja mpaka wafukuze ukawa wote
J3 wapinzani waendelee kuzuia huo muswaada .Pamoja na Kinana kuwalipua wabunge wa ccm kwamba wana pitishapitisha tu sheria zinazoumiza wananchi bado yanaendelea kukubali
Lema, Sugu, mnyaa, mbatia, tieni timu na nyie mfukuzwe. Jumatatu mbowe na mdee mkakinukishe, hivyo hivyo mpaka bunge liishe
Wembe ni ule ule wakifanya vurugu watasimamishwa kushiriki vikao vyote.
jumatatu kama haya majembe yatakuwepo dodoma itakuwa imekaa poa sana
Kamanda nasari kesho mjengoni akishirikiana na sugu lema na halima mdee
Makamanda kwa faidaLeo makamanda wa ukweli katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wamefukuzwa Bungeni.
Kwa hiyo nawasihi makamanda wengine kama Lema na Sugu, kesho waende bungeni wakaongeze nguvu iliyopungua.
Sisi wananchi tuliyo wengi tunaamini Lema, Sugu wakienda bungeni wakishirikiana na makamanda wengine kama vile Wenje, Halima Mdee, Moses Machali, James Mbatia na kamanda mkuu wa kikosi chote cha UKAWA Freman Mbowe akikisheni hi sera ya gesi na mafuta haipitishi Bungeni kwa manufaa ya nchi.
Leo makamanda wa ukweli katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wamefukuzwa Bungeni.