Lema na nassari kuzindua tawi chuo cha uhasibu arusha leo

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Baada ya kutoka Igunga alipokuwa jana, kamanda lema leo atakuwa jimboni kwake kwenye chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) akiwa na rafikiye wa karibu aliyekuwa mgombea ubunge Arumeru Mash. kamanda Nassari. Tutawajulisha vile itakuwa wanajanvi
 
kwa kweli msemo wa mbowe...chadema ni REAL MADRID.......unasajiliwa na kpiga bao mechi ya kwanza!!!!!!!!

go kamanda lema, your love for the country is highly appreciated!!
 
Lema namkubali kweli yule atawafurumua wezi wote hakika sasa naona yule anafaa kuwa engine ya chadema ana mission na commitment
 
Back
Top Bottom