Lema na Mbowe wajichanganya

Lema na Mbowe wajichanganya

we ni kondom ya lema utaishia kutupwa chooni.

Kwa kuwa wewe ni lady pepeta ya savimbi, unadhani wote wako kama wewe!

Subiri akumwagie tindikali, akupitishe kwenye majukwaa kwani opportunity yako kwa sasa ni finyu!
 
MAKAMANDA! Msiogope! Humu kuna miccm inataka taarifa, waambien wasubiri mahakaman,mbowe na lema wamekaa hotel 1, wamefanya vikao vya chama pa1, wanajua nn wanafanya,kumbuken kamanda lema anawindwa na polis kuliko mtu yeyote tanzania,hata hivyo kaul hiyo si kuwaogopa polis,bali ni kuweka mazingira maalum na halali ktk kesi hiyo, ccm wasidhan mambo yameisha, wataumbuka,endeleen kusubil mwone mwisho wa kesi hii! Mwenye kuelewa kaelewa!
 
Hata mjiteteee vipi safari hii hamchomoki. Uchu wa madaraka unawafanya muumize wananchi. Halafu kuna kitu ambacho linawanyemelea magamba: Kila kukicha wakitoa mchango wowote badala ya kujikita kuongea mambo ya kutatua kero za wananchi, wao ni kujadili habari ya chama dume (CDM). Makamasi yatawatoka kwani hamjiulizi impact ya njama zenu dhidi ya CDM.
 
Si kweli sasa wanajichanganya vp...?au TBC HAWAJAELEWA.?... UNAJUA..MBOWE, GODBLESS LEMA, NA CHADEMA KISHERIA NI VITU TOAUTI...KAMA MBOWE ANAO SIO LAZIMA LEMA AWE NA USHAIDI AU SIO LAZIMA CDM WAWE NA USHAIDI....mbowe anaweza kuwa nao lakini hajampa godbless lema...mbowe ndo alisema anao sijaona lema akisema ana ushaid...sijui kam watoto wa ccm watanielewa..maana wao hawezaji kutofautisha kati ya kazi za serekali na za chama..

Hapa wanaojichanganya ni Lema na Mbowe au polisi na TBC ndo wanaojichanganya? Nadhani polisi na TBC ndo wanajichanganya.
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
kwani siku hizi kutoa statements polisi na vyombo vya habari vinaruhusiwa kuhudhuria!?

Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

TBCCM waliambiwa na POLICCM na wewe unaleta umbea hapa! Ulikuwepo?
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

We dhaifu kweli, kwani awali walisema wanafanana kujua kila kitu kuhusiana na tukio? Na halafu baadaye wakihojiwa wakawa tofauti?
 
Watu nawashangaa sana,kama maelezo ya Lema na Ya Mbowe ni lazima yafanane,si mgechukua maelezo ya mmoja then mkatoa photocopy?Maelezo ya polisi yanaitwa maelezo binafsi,ni kwa kila mmoja jinsi alivyoona.Sio lazima kile alichoona na anachokifahamu Mbowe(mwenyekiti) basi na kila mbunge ktk chama alikiona na anakifahamu.Mnataka kutuambia kuwa maelezo atakayotoa mwenyekiti wa CCM kuhusu labda Richmond yatakuwa sawa na maelezo anayoweza kuyatoa mbunge wa labda huko jimbo la Karagwe CCM Blandes?Tena maelezo yao yangefanana ningewashangaa sana!
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

Makusudi ili wasisumbuliwe Lema aliamua kusema hivyo
 
watu nawashangaa sana,kama maelezo ya lema na ya mbowe ni lazima yafanane,si mgechukua maelezo ya mmoja then mkatoa photocopy?maelezo ya polisi yanaitwa maelezo binafsi,ni kwa kila mmoja jinsi alivyoona.sio lazima kile alichoona na anachokifahamu mbowe(mwenyekiti) basi na kila mbunge ktk chama alikiona na anakifahamu.mnataka kutuambia kuwa maelezo atakayotoa mwenyekiti wa ccm kuhusu labda richmond yatakuwa sawa na maelezo anayoweza kuyatoa mbunge wa labda huko jimbo la karagwe ccm blandes?tena maelezo yao yangefanana ningewashangaa sana!

hasira zako haziwezi kusafisha matamshi tata ya mwenyekiti wako.bado yanabaki kuwa pumba
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

Hao Tbc wameyajuaje mahojiano kati ya police na watuhumiwa!?na hata ningekuwa mimi ningesema hivyo hivyo,kwakuwa nimeshakosa imani nao.
 
Lema na Mboye wameandika maandishi hivyo kupiga kelele humu wakati ukweli upo wa maandishi ni kujisumbua.

Ndugu zangu m/kiti wenu anatia shaka sana na maswali mengi kuliko majibu. Inatia kweli akilini m/kiti anakusanya michango wakati watu wa chini wapo. Mh mm napata shaka sana na yeye bila shaka ilikuwa ni njia ya kwenda mbali ili bomu likirushwa hasidhulike tena cha ajabu yeye na Lema wote walienda mbali na jukwaa. Hamkeni jamani.

Lingine linalonitia shaka baada ya kuona wasifu wa marehemu uliosomwa kanisani kuwa marehemu (judith) ndiye aliyemshauri Lema kujiunga na chadema wakati katika ile video anaonekana Lema hata atapata mshtuko wa kuona mtu aliyemfanya leo awe kamanda kufa tena mbele ya macho yake. Halichofanya yeye ni kukumbatia box la pesa badala ya kwenda kumbeba au kumkumbatia marehemu hii inatia shaka sana. Inaonekana alifadhaika kuona bomu limempitia mtu anayemjua na ndio maana nafsi inamsuta na kujikuta anaongea tofauti na m/kiti wake. Jamani damu ya mtu mzito na bado ataweweseka sana tu mimi nipo hapa nalia na amani na Taifa.
 
Hivi wewe na akili yako unatazama tbc na kuifanyia reference? nina hakika unaumwa!
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

Ni tactical move, hujaelewa kwamba akili ndogo haiwezi kuhoji akili kubwa? Hujui kwamba akili ndogo haijui inataka kujua nini na itakipataje!CDM ni zaidi ya maelezo!
 
Nina uhakika wewe ni baby boomers generation (tafuta kwenye google its meaning)

Unatazama TBC, tena bila aibu unaleta uzi hapa!
hayo maneno hayatolewa na tbc kigori wangu, hayo ni maneno ya kamishna CHAGONJA na mahojiano yote kati yake chagonja na lema/mbowe yamerekodiwa. bwatuka tuuu lakini huo ndio ukweli na ushahidi wa mahojiano upo..
kubali ukatae, waume zako wameshajichanganya na wameshaonyesha udhaifu wao.
ARUSHA WILL BE YOUR GRAVE YARD FOR YOU PATHETIC COCKROACHES
 
Back
Top Bottom