KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
Nina uhakika wewe ni baby boomers generation (tafuta kwenye google its meaning)
Unatazama TBC, tena bila aibu unaleta uzi hapa!
Mleta mada atakuwa ni kati ya vilaza wa NEPI!
Nina uhakika wewe ni baby boomers generation (tafuta kwenye google its meaning)
Unatazama TBC, tena bila aibu unaleta uzi hapa!
Wewe soma tanzania daima ikibidi uza mandazi wenzio wauze karanga,lema hayupo sawa kichwani mbowe na vile mwenzangu na mimi.
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
Wewe soma tanzania daima ikibidi uza mandazi wenzio wauze karanga,lema hayupo sawa kichwani mbowe na vile mwenzangu na mimi.
Niliuliza hapa jana kuwa mbowe na lema nani anamuongoza mwenzake.
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
We takataka huwezi jifananisha na Mbowe.
Dah! Umechalewa kwani ofisi zimefungwa. Buku 7 itakuwaje sasa?
Lema yupo sawa....................... ndiyo maana katufundisha kuushinda WOGA!
Muulize Chagonja then majibu um copy Nchimbi na Pinda.
Na ulaaniwe wewe uliyetuletea SOURCE toka TBC.
Walaaniwe wote wanaitazama!
sina uhakika kama kuna mtazania mwenya akili anaye tazama tarifa ya habari ya tbc.chanzo cha habari ndio hiki? Basi subiria mahakamani ndio utaona utamu wa hili game!!!!