Lema na Mbowe wajichanganya

Lema na Mbowe wajichanganya

Hivi vyanzo vya habari sina hakika kama viko sahihi. Sijui ni CCM wanajaribu kupotosha umma kuonesha kuwa CDM hawajajipanga. Enewei... Siasa maji taka.
 
Hapa wanaojichanganya ni Lema na Mbowe au polisi na TBC ndo wanaojichanganya? Nadhani polisi na TBC ndo wanajichanganya.
....Ni kweli mkuu awenda....chagonja amezidiwa akili ...amebaki hana la kufanya ni bora asingeende arusha tu...
 
Sasa ch kushangaza hapa ni kipi?
Mbowe alishasema hatawapa police ushahidi.
 
hayo maneno hayatolewa na tbc kigori wangu, hayo ni maneno ya kamishna CHAGONJA na mahojiano yote kati yake chagonja na lema/mbowe yamerekodiwa. bwatuka tuuu lakini huo ndio ukweli na ushahidi wa mahojiano upo..
kubali ukatae, waume zako wameshajichanganya na wameshaonyesha udhaifu wao.
ARUSHA WILL BE YOUR GRAVE YARD FOR YOU PATHETIC COCKROACHES

Acha kukurupuka, mleta uzi ndiyo ameandika source ni TBC 1. Unadandia kula pili pili, utakuna mk*nd* mpaka uchoke!

Uwe unaangalia wanaume wanajadili mada gani, c kudandia!
 
TBC hua tunangalia komedi tu,na yenyewe siku hizi inaboa,wazee wetu mikoani siku hizi wanaving'amuzi wanaona tv zote,sio kama zamani TBC only.
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
Samahani wewe unatumia kiungo au ogani gani kufikiri?
Hizi ndizo akili matunda ya serikali sikivu ya CCM.
 
Kamuulize msemaji wenu CP Chagonja, mtuhumiwa anaetaka kupeleleza kesi inayomhusu.
 
Kamuulize msemaji wenu CP Chagonja, mtuhumiwa anaetaka kupeleleza kesi inayomhusu.
 
Back
Top Bottom