Lema na Lissu lini mnarudi Tanzania?

Etwege wewe ni mjinga wa kupindukia wewe mbona unalelewa na ufukara na umaskini wa fikra kiasi kikubwa namna hii! Ungekuwa ni wewe uliyekoswa kuuwawa ungebaki ili hao wanaume wa kiafrika waendelee kukulea na kuona fahari! Yaani eti waje walipe madeni wewe inakuhusu nini!
Kuna kipindi unatakiwa kuficha upumbafu wako!
Bila shaka na wewe unalelewa na wanaume wa kizungu
 
Bado tuko kwenye transition, baadhi ya mambo ni yale yale, hata ungekua wewe mleta hoja huwezi ku risk maisha yako kibwege! Acha wakae huko kwani tunawalipia sisi?
 
Hawa watu wana akili sana, wameshagundua makosa yao, wanajiandaa kutubu na kuomba msamaha ili warudi. Ila wasiogope Mama hana shida nao.
 
Hawa watu wana akili sana, wameshagundua makosa yao, wanajiandaa kutubu na kuomba msamaha ili warudi. Ila wasiogope Mama hana shida nao.
mjinga kabisa wewe na huu ujinga wenu wa kupandikiza chuki kwenye jamii ndio uliopekea mungu akamuua jpm maana hatukuwahi kuwa na siasa za hv
 
Watu wanaongea ukweli bungeni

wanapendwa na watu

mnawaonea wivu

mnawapiga risasi

mnawanyima matibabu

haitoshi mnawafukuza ubunge

wengine mnawapokonya ushindi wao halali

wengine mnawateka

wengine mnawauwa

wanaobahatika kukimbia
mnawaita mashoga makuwadi wa mabeberu

wamekaa huko ughaibuni kimya mnawaanzishia nyuzi kirihifu

na ndio maana hasira za mungu zilipomwangukia muasisi wa siasa za chuki tanzania taifa lililipuka kwa furaha
 
kizazi cha shetwan na bado endeleeni kuwasha hasira za mungu wa haki magufuli mmemponza nyie badala ya kumkanya uovu wake mlimsujudu mkamwita mungu sasa endeleeni na upuuzi wenu
Wanarudi waje wale kwa jasho leo
 
Hadi itakapodhibitika bila shaka, jamaa AMESHAOZA KABISA!!kwani kutokana na wafuasi wake walivyokuwa wakimchukulia kama mungu mtu lolote laweza tokea!!
Hahaha jama akisikia kuna ka nafasi ka kugombea utamuona tz ila kwa kaua hakapo basi anaogopa ku dead 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom