Lema na Lissu lini mnarudi Tanzania?

He he he! Faru joni anadunda tuu biashara South, Dubai na Nairobi. Jiwe na hivi walimfukia kaveshwa ngozi basi funza wanatafuna kwa kasi ya 5G.
Na huku duniani MAMA SS anawaumbua nyie vidampa wa mwendazake.
Mzimu wake utakutesa mpaka kufa kwako, na ukifa utarundikwa mchanga mwingi sana ewe kapuku wa kutupwa.
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lissu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.

Mkuu inakuwaje unawafuatilia wanaume wenzako kiasi hicho,unatutia shaka
 
Lema amekua mpiga ramli na msoma nyota. Anaombea viongozi wa ccm kufa, eti ametumwa na mungu, unajiuliza huyo Mungu ambae anamtuma Lema anakua amelewa ama amechanganyikiwa, amekosa watu wa kutuma?

Lissu yuko compromised tayari na wabelgiji.

Hii nchi haina future.

Ccm msala, upinzani msala zaidi. No future.
 
Mjinga na mpumbavu mbobezi, mama huna shughuli si usome biblical au jirani. Kmmmyk.
We ndio kiazi kabisa,

Mleta mada ana hoja sana! Hao watu wako waeleze kitu gani kinawafanya waendelee kukaa kwa wanaume wakizungu wakati mbaya wao hayupo?
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lissu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.
Nadhani lissu alitoa hoja zake 6 ambazo zikifuatwa atarudi kwayo mpaka sasa hajajibiwa hivyo bado ana wasiwasi kurudi kuhusu Lema sijajua ila nadhani kwa sababu kashapewa uraia huko huenda ndo ikwa nitolee kurudi huku
 
Hawawezi kurudi hao matapeli.Wamekimbia nchi kwa sababu za ugomvi wao wa kutapeli wakachukua kiki za kisiasa! Sanasana huyo tapeli Lissu asirudi kabisa! Hatumtaki nchini kwetu!
 
Nadhani lissu alitoa hoja zake 6 ambazo zikifuatwa atarudi kwayo mpaka sasa hajajibiwa hivyo bado ana wasiwasi kurudi kuhusu lema sijajua ila nadhani kwa sababu kashapewa uraia huko huenda ndo ikwa nitolee kurudi huku
Wakati anarudi kugombea akafanya kampeni miezi 3 ,hoja zake zilikuwa zimejibiwa na nani?
 
Back
Top Bottom