Lema na Lissu lini mnarudi Tanzania?

Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.
Kwa nini polisi walitoa zile footage pale area d Dodoma?
 
Hayajakukuta Ndugu,Risasi 16 halafu waliotaka kukuua bado wanakupigia simu za kukuambia kuwa watakumaliazia kazi walioianza

Shujaa wa Mazezeta alitufikisha sehemu mbaya sana
Acha kuangalia movie za kiindi upigwe risasi 16 upone
 
Hayajakukuta Ndugu,Risasi 16 halafu waliotaka kukuua bado wanakupigia simu za kukuambia kuwa watakumaliazia kazi walioianza

Shujaa wa Mazezeta alitufikisha sehemu mbaya sana
Heli shujaa wa mazezeta kuliko shujaa wenu mash _ ga
 
Back
Top Bottom