Lema na Lissu lini mnarudi Tanzania?

Lema atakuwa wa kwanza kuoza yeye maana kwa usaliti wake siku amekufa atarundikwa mchanga mwingi sana
 
Tafuta jukwaa la "Waliokosa hekima na Akili Kidogo", mada na michango itakuwa ipo mahali sahihi.
 
Hopeless, low IQ, low thinking. Rudi shule Lumumba ujifunze kutengeneza hoja makin.
 
Kuwa makini mnaweza kuwa wa kwanza kuoza maana mkifa leo mtarundikwa mchanga mwingi sana kwa kusaliti taifa na kuolewa na wazungu.
Magufuli siyo Taifa. Yeye amefariki, Taifa linaendelea.

Marehemu na kundi lake walilinajisi Taifa. Lakini kwa mkono wenye nguvu wa Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, akawarudishia watu wake, Taifa lililotekwa na waovu, akalipa ulinzi mkuu ili mbweha masalia wasiliharibu tena.

Hakika ameshusha wenye enzi katika viti, akiendelea kuwakweza wanyenyekevu.
 
Wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.

Aisee ujinga upo na watu wa ccm, yan mnanishangazaga kitu kimoja mtu akipinga mambo yenu ya kipuuz huwa ni automatic mnamwona yupo chadema
, you guys are very stupid wengine sisi ni concerned citizens we are not affiliated with any political party, we have common sense therefore we know what is good and bad, wrong and right... next time tumia akili kidogo hata kama mtu akiwa ccm anakuwa mbumbumbu mkuu
 

Mbinu za medani: Aida Khenan, Mbunge wa Nkasi ndiyo awe Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Wanini hao takataka, acha waendelee kuhudumiwa na wanaume wenzao huko hatuitaji kuwa na vibaraka.
 
He he he! Faru joni anadunda tuu biashara South, Dubai na Nairobi. Jiwe na hivi walimfukia kaveshwa ngozi basi funza wanatafuna kwa kasi ya 5G.
Na huku duniani MAMA SS anawaumbua nyie vidampa wa mwendazake.
Nyinyi wanasaccos mmelaaniwa na Mungu mtabaki kuhangaika tu lakini nchi hamtakabidhiwa kabisa!!

Ona sasa Mama Samia amekuwa mgombea na Rais wa Chadema siyo wa CCM tena yaani nyinyi hamjitambui aliyewaita Nyumbu alifikiria mbali sana!!
 
Alikuja hapa akafanya kampeni miezi mitatu chini ya ulinzi wa mwendazake .

Dereva anahitajika ili aje atoe maelezo lakini amefichwa
Unakurupuka kujibu swali ambalo siyo lako: Swali limeelekezwa kwa Lissu na Lema, wameulizwa wao straight, ("Lissu na Lema, mnarudi lini Tanzania") sasa subiri wao watajibu, naamini wamo humu, acha kiherehere!!
 
Unakurupuka kujibu swali ambalo siyo lako: Swali limeelekezwa kwa Lissu na Lema, wameulizwa wao straight, ("Lissu na Lema, mnarudi lini Tanzania") sasa subiri wao watajibu, naamini wamo humu, acha kiherehere!!
Hao ni wake halali wa Amstadam kurudi mpaka awape ruhusa.
 
Etwege wewe ni mjinga wa kupindukia wewe mbona unalelewa na ufukara na umaskini wa fikra kiasi kikubwa namna hii! Ungekuwa ni wewe uliyekoswa kuuwawa ungebaki ili hao wanaume wa kiafrika waendelee kukulea na kuona fahari! Yaani eti waje walipe madeni wewe inakuhusu nini!
Kuna kipindi unatakiwa kuficha upumbafu wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…