Lema na Lissu lini mnarudi Tanzania?

Lema amekua mpiga ramli na msoma nyota. Anaombea viongozi wa ccm kufa, eti ametumwa na mungu, unajiuliza huyo Mungu ambae anamtuma lema anakua amelewa ama amechanganyikiwa, amekosa watu wa kutuma?

Lissu yuko compromised tayari na wabelgiji.

Hii nchi haina future.

Ccm msala, upinzani msala zaidi. No future.
Lema atakuwa wa kwanza kuoza yeye maana kwa usaliti wake siku amekufa atarundikwa mchanga mwingi sana
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lissu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.
Tafuta jukwaa la "Waliokosa hekima na Akili Kidogo", mada na michango itakuwa ipo mahali sahihi.
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lissu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.
Hopeless, low IQ, low thinking. Rudi shule Lumumba ujifunze kutengeneza hoja makin.
 
Kuwa makini mnaweza kuwa wa kwanza kuoza maana mkifa leo mtarundikwa mchanga mwingi sana kwa kusaliti taifa na kuolewa na wazungu.
Magufuli siyo Taifa. Yeye amefariki, Taifa linaendelea.

Marehemu na kundi lake walilinajisi Taifa. Lakini kwa mkono wenye nguvu wa Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, akawarudishia watu wake, Taifa lililotekwa na waovu, akalipa ulinzi mkuu ili mbweha masalia wasiliharibu tena.

Hakika ameshusha wenye enzi katika viti, akiendelea kuwakweza wanyenyekevu.
 
Wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.

Aisee ujinga upo na watu wa ccm, yan mnanishangazaga kitu kimoja mtu akipinga mambo yenu ya kipuuz huwa ni automatic mnamwona yupo chadema , you guys are very stupid wengine sisi ni concerned citizens we are not affiliated with any political party, we have common sense therefore we know what is good and bad, wrong and right... next time tumia akili kidogo hata kama mtu akiwa ccm anakuwa mbumbumbu mkuu
 
Aisee ujinga upo na watu wa ccm, yan mnanishangazaga kitu kimoja mtu akipinga mambo yenu ya kipuuz huwa ni automatic mnamwona yupo chadema , you guys are very stupid wengine sisi ni concerned citizens we are not affiliated with any political party, we have common sense therefore we know what is good and bad, wrong and right....next time tumia akili kidogo hata kama mtu akiwa ccm anakuwa mbumbumbu mkuu

Mbinu za medani: Aida Khenan, Mbunge wa Nkasi ndiyo awe Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Wanini hao takataka, acha waendelee kuhudumiwa na wanaume wenzao huko hatuitaji kuwa na vibaraka.
 
He he he! Faru joni anadunda tuu biashara South, Dubai na Nairobi. Jiwe na hivi walimfukia kaveshwa ngozi basi funza wanatafuna kwa kasi ya 5G.
Na huku duniani MAMA SS anawaumbua nyie vidampa wa mwendazake.
Nyinyi wanasaccos mmelaaniwa na Mungu mtabaki kuhangaika tu lakini nchi hamtakabidhiwa kabisa!!

Ona sasa Mama Samia amekuwa mgombea na Rais wa Chadema siyo wa CCM tena yaani nyinyi hamjitambui aliyewaita Nyumbu alifikiria mbali sana!!
 
Alikuja hapa akafanya kampeni miezi mitatu chini ya ulinzi wa mwendazake .

Dereva anahitajika ili aje atoe maelezo lakini amefichwa
Unakurupuka kujibu swali ambalo siyo lako: Swali limeelekezwa kwa Lissu na Lema, wameulizwa wao straight, ("Lissu na Lema, mnarudi lini Tanzania") sasa subiri wao watajibu, naamini wamo humu, acha kiherehere!!
 
Hao ni wake halali wa Amstadam kurudi mpaka awape ruhusa.
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lissu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.
Etwege wewe ni mjinga wa kupindukia wewe mbona unalelewa na ufukara na umaskini wa fikra kiasi kikubwa namna hii! Ungekuwa ni wewe uliyekoswa kuuwawa ungebaki ili hao wanaume wa kiafrika waendelee kukulea na kuona fahari! Yaani eti waje walipe madeni wewe inakuhusu nini!
Kuna kipindi unatakiwa kuficha upumbafu wako!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom