Lema mwendo ameumaliza tutakukumbuka

Lema mwendo ameumaliza tutakukumbuka

Kwani imekuwaje tena kuhusu lema wakuu? Naona tu kila sehemu Lema Lema, Kwani amefanyaje tena. Au ni Umbea kutoka Marekani kwa dada au kuna taarifa gani rasmi?
Wee naye unawaza tu umbea umbea ukiwa hapo sebuleni sofani kwa shemeji (mume wa dada yako) umening'iniza poumbou.
 
Kwani imekuwaje tena kuhusu lema wakuu? Naona tu kila sehemu Lema Lema, Kwani amefanyaje tena. Au ni Umbea kutoka Marekani kwa dada au kuna taarifa gani rasmi?
Ni umbea watu wamejaa kama magoigoi tu
 
Mchaga yeyote anafikika Bei mbona, unaweza oa mtu na mkewe kisa tu umefika dau zuri
 
Sijaona tatizo lolote kwa Lema. Kwani siyo Lissu aliyesisitiza mara mbili mfululizo kuhusu kufikisha pole yake kwa Wafiwa? Nadhani tatizo ni msimamo uliopitiliza kwa baadhi ya wafuasi wa CHADEMA. Kwani suala la kufiwa kwa Samia tukichukulia tu utamaduni wa Kiafrika bila kuwa siasa ndani yake hastahili kupewa pole? tatizo la Nchi hii siyo SAMIA, ni CCM. Hili ndo dude kubwa lihovyo.
 
Back
Top Bottom