LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,660
- 12,959
Mkuu kwani nini kimejiri kuhusu huyu mtu?Godbless Lema ndo kwisha kisiasa
Mkuu kwani nini kimejiri kuhusu huyu mtu?Godbless Lema ndo kwisha kisiasa
Baadae njoo Morocco fanya kama unaenda namanga usawa wa jengo la Airtel 😅Mchumba siku hizi umenikimbia kwasababu sijapata teuzi sawa
Baadhi ya wanachadema wapumbavu wameingia kwenye mfuno wa wanaharakati. Baada ya hapo ni mwendo wa kupelekwa mpera mpera.Sasa hivi ukifanya mistake ndogo tu wafuasi wa Chadema wanakushusha moja kwa moja tunasema kama ulikua ligi kuu unashuswa daraja moja kwa moja ndo kinaenda kumtokea Nabii koko anashindwa kusoma nyakati na wakati. Lissu kaja kukomesha biashara ya siasa sijuhi kwa nini wanakua wazito kutambua jambo kama hili Niliwahi kuleta Uzi hapa Lema anahitaji chadema kuliko chadema inavyomuhitaji Lema
Huko nyuma , mlikuwa mnamuabudu !
Lema anachafuliwa bila sababu za msingi.😅😅 sijui nataka kusemaje
Ameanza lini wizi wa magari?Nani yule tapeli Lema mwizi wa magari
Kuhusu huyu jamaa nakosa cha kuongea nikipata cha kuongea nitaongeaLema anachafuliwa bila sababu za msingi.
Ukikipata kama ni cha moto sana, karibu piemu ukipooze.Kuhusu huyu jamaa nakosa cha kuongea nikipata cha kuongea nitaongea
SawaUkikipata kama ni cha moto sana, karibu piemu ukipooze.
Kweli hii mkuu?Mchaga yeyote anafikika Bei mbona, unaweza oa mtu na mkewe kisa tu umefika dau zuri
Kajamba ushuzi wa ngomani anamsingizia muimbaji.Kwani imekuwaje tena kuhusu lema wakuu? Naona tu kila sehemu Lema Lema, Kwani amefanyaje tena. Au ni Umbea kutoka Marekani kwa dada au kuna taarifa gani rasmi?
Hela zako tu, huko si wajua wapenda hela kuliko hata thamani ya binadamuKweli hii mkuu?
KivipLema anazingua
Kwaiyo we unaishi police post oysterbeyBaadae njoo Morocco fanya kama unaenda namanga usawa wa jengo la Airtel 😅
Sijaona tatizo lolote kwa Lema. Kwani siyo Lissu aliyesisitiza mara mbili mfululizo kuhusu kufikisha pole yake kwa Wafiwa? Nadhani tatizo ni msimamo uliopitiliza kwa baadhi ya wafuasi wa CHADEMA. Kwani suala la kufiwa kwa Samia tukichukulia tu utamaduni wa Kiafrika bila kuwa siasa ndani yake hastahili kupewa pole? tatizo la Nchi hii siyo SAMIA, ni CCM. Hili ndo dude kubwa lihovyo.
Machoko ya ccm yanasema Heche fisadi na muhaini lakini yameshindwa kumfungulia kesi. Shenzi kabisa.vip fisadi heche na muhaini? 🐒