Lema mwendo ameumaliza tutakukumbuka

Lema mwendo ameumaliza tutakukumbuka

Sasa hivi ukifanya mistake ndogo tu wafuasi wa Chadema wanakushusha moja kwa moja tunasema kama ulikua ligi kuu unashuswa daraja moja kwa moja ndo kinaenda kumtokea Nabii koko anashindwa kusoma nyakati na wakati. Lissu kaja kukomesha biashara ya siasa sijuhi kwa nini wanakua wazito kutambua jambo kama hili Niliwahi kuleta Uzi hapa Lema anahitaji chadema kuliko chadema inavyomuhitaji Lema
Lissu ni yeye ajaye
 
Lema anaenda kucheza ndondo cha Umma ligi kuu imemshinda kwa upumbavu wake
Ningelikuwa mimi ni Mwana Chadema, ningelijiuliza kwanini wanachama wangu wengi "wanaramba asali"? Ningelipata jibu, ningelitibu tatizo badala ya kudili na mtu au watu.
 
Mwendo ameumaliza ila Imani hajailinda.
 
Back
Top Bottom