Lema muombe Lowassa msamaha uwe huru

Lema muombe Lowassa msamaha uwe huru

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,005
Ndugu zangu,

Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi"..

Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.

Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.

Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.
 
Yawezekana waliombana msamaha, kiushkaji. Na hapa sio Lema pekee, viongozi wengi wa CDM hii inawahusu. Lakini kwenye siasa kuna mambo ya ajabu, mtu anaweza kumtukana mwenzake baada ya muda wako wote wanakunywa juisi pamoja!
 
Haya maneno yatamfuata lema hadi anaingia kaburini..alimtukana sana lowasa wakati wa kampeni arusha..ilifikia mahali alisema lowasa batilda buriani kajazwa mimba ya lowasa..alisema ni heshima kwa Mungu kumzomea mwizi na fisadi kama lowasa..huyu alivuka viwango vya siasa akaja kwenye uvunjaji wa haki za binadamu..bahati mbaya serikali iliyopo ilikuwa dhaifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuida Lowassa fisadi"..

Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.

Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.

Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijinga kijinga vile. Wewe waombe CHADEMA msamaha kwa usaliti hata kama una unaibu waziri kwa hisani ya nyonga na usaliti.
 
Kwamba walishiriki wote kwenye movie ya kuua mbwa na kumzika 😁😁😁😁😁😁 Walimuonea sana huyo mbwa na bado target yao ikafeli...laana ya mbwa inawatafuna na wote watakuwa victim ..Nasari tayar amefukuzwa ubunge na Lema halambi jimbo 2020....huu mchezo hauhtaj hasira
 
Kwamba walishiriki wote kwenye movie ya kuua mbwa na kumzika 😁😁😁😁😁😁 Walimuonea sana huyo mbwa na bado target yao ikafeli...laana ya mbwa inawatafuna na wote watakuwa victim ..Nasari tayar amefukuzwa ubunge na Lema halambi jimbo 2020

Hahahaha
Eti movie ya mazishi ya mbwa
Uwiii mbavu zangu jamani
 
Haya maneno yatamfuata lema hadi anaingia kaburini..alimtukana sana lowasa wakati wa kampeni arusha..ilifikia mahali alisema lowasa batilda buriani kajazwa mimba ya lowasa..alisema ni heshima kwa Mungu kumzomea mwizi na fisadi kama lowasa..huyu alivuka viwango vya siasa akaja kwenye uvunjaji wa haki za binadamu..bahati mbaya serikali iliyopo ilikuwa dhaifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayatamtafuna maana ni ya kweli kwa hiyo yupo huru.
 
Ndugu zangu,

Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuida Lowassa fisadi"..

Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.

Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.

Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshauri Lowasa awaombe msamaha wale watanzania Milioni 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Lowasa bado yupo CDM si alisharudi nyumbani CCM, Lema alimwita fisadi alipokua nyumbani alipohamia CDM nani walimwita Lowasa fisadi? Na sasa karudi nyumbani mbona huwaambii waliomwita fisadi akiwa CDM wamuombe msamaha?
Jamaa yupo kama msajili mtungi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom