Lema: Mawakili msihangaike tena

Huyu nae atasahaulika muda si mrefu..
 
Serikali ya mwendo kasi bana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 


Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Naye Lema asihangaike kutoka lupango.
Akae atulie.
 
Lema siyo mnafiki
 
Kwani mbona kuna watu kibao tu wapo jela bila hatia,asituletee siasa.
 


Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
ndoto nyingine noma!!
 
Nini Sasa hicho umeandika[emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…