[h=1][/h]
Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema (Chadema)
Lema akishirikiana na wasanii watatu wa muziki wa kizazi kipya, John Mkoloni na wawili mapacha kutoka Kundi la Wagosi wa Kaya la jijini Tanga, ametunga nyimbo nne ambazo ni Jimboni, Mh Rais, Usiogope na Tunahusika.
Yale yaleeeeeee!!!!
Wabunge wa Tanzania 90% hawajuwi kazi zao! Sijuwi takataka zilizo kwenye ubongo wao zitatokaje, duh
Mh. Lema ni janga la taifa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mh. Lema ni janga la taifa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
[h=1][/h]
Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema (Chadema)
Lema akishirikiana na wasanii watatu wa muziki wa kizazi kipya, John Mkoloni na wawili mapacha kutoka Kundi la Wagosi wa Kaya la jijini Tanga, ametunga nyimbo nne ambazo ni Jimboni, Mh Rais, Usiogope na Tunahusika.
Tulia wewe Migamba imekung'ang'ania ndio maana unaandika Uharo she.twaini weweMh. Lema ni janga la taifa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
habari na kontenti vitu viwili tofauti.
Inaonyesha amekurupuka au ndoto za usiku kwa kichwa cha habari na kilichomo ndani havina munganiko tena hakina maana kwe2.Au ni pombe za pale Empire club ndo zinaanza kufanya kazi .JIPANGE KIJANAFafanua vizuri tuelewe