shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Wale waliosema lema hatapiga kampeni waje humu tujadiliane
Mungu amsaidie sana lema ashinde jimbo hilo mtetezi wa wanyonye.
Lema asiposhinda kura zaidi ya elfu 30 sitakula siku 41 kama wale jamaa wa Nyangalata
Acha kumuhusisha mungu Na huyu zezeta mlopokaji
Thubutuu hahaha wanajua kunamoto
Uwe unazifuta tu hizo msg kwani shida iko wapi?Kuna watu walisema lema hatopiga kampeni kwani keshapita jimbo la Arusha.
sasa kutwa nzima anatusumbua kwa sms
Ngojeni tingatinga lije kukuomboa jimbo Lema atakuwa historia. Monaban fanya mpango haraka tingatinga lije wafanyabiashara Tunataka Geneva of Africa irudishe hadhi yake.
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.
Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.
Tuungane kwa pamoja kuombea Lema ashindwe ubunge Arusha.