Lema: Lowassa, Sitta na Mwakyembe kuhamia CHADEMA

Chiume

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
48
Reaction score
18
Lema amewataja Ndg. Edward Ngoyai Lowassa, Ndg. Samweli Sitta na Ndg. Harisson George Mwakyembe kuwa ni kati ya vigogo walioomba kuhama kutoka CCM kuja CDM.

Source:
Nimehudhuiria mkutano wake wa jana!

=========
UPDATE:
 
ngoja tungoje watakavyo jibu wahusika wenyewe , ingawa possibility ya wahusika kukubali haipo , siasa za bongo bwana
 
CHADEMA, CCM jino kwa jino!
 
Hii habari ipo Tz daima hakuandika majina naona wewe umeamua kuyaweka apa!
 
Mbona umechanganya chunvi, sukari, pilipili na cloroquine. Wotae hao watakubaliwa?
 
Mwakyembe na Sitta wawe kambi moja na Lowasa? Kwa hili mimi nitakuwa Thomas.
 
si ajabu CDM kumkaribisha EL na kuanza kumtakatisha. Siasa bana!
 
Lema amewataja Ndg. Edward Ngoyai Lowassa, Ndg. Samweli Sitta na Ndg. Harisson George Mwakyembe kuwa ni kati ya vigogo walioomba kuhama kutoka CCM kuja CDM.

Source:
Nimehudhuiria mkutano wake wa jana!

Chiume, mbona magazeti leo hayajataja hayo majina? Hao waandishi hawakuhudhuria huo Mkutano?
 
Hbr nilizozinyaka kwa mtu wa karibu kbs na EL ni kwa hbr hii ni ya ukweli toka ndani ya nafsi yake EL.

Na anachotaka kufanya ni kutoa kutapika yote yaliyomfanya ajiuzuru uwaziri mkuu ile enzi yake na bila kusaha mambo ya epa & richmond ambayo imekuwa ikimgusa sana kwn karibu kila Mtanzania amekuwa akimwonyeshea kidole.
Mdau amesema kwmb ataweka wazi kila kitu wazi na ndipo atatua chama ajuae yeye na hajaweka wazi ni chama gani ataingia ila ataibwaga manyanga ccm muda wowote kuanzia mwezi ujao.

Tusubirie na tuangalie hii sinema itakavyokuwa kwani natarajia kuona hii kimbunga ikuchukua angalau kama siyo nyumba nzima lakini itachukua hata bati.
 
Hivi ina maana siku zote watu wa Chadema mnasema EL ni fisadi kwa kuwa tu yuko CCM? Mnamaanisha EL akihamia Chadema basi ufisadi manaomtuhumu unabaki CCM?

Ndio maana sipendi siasa na kazi za kisiasa.
 
sijawahi kuongea na viongozi wa chadema tangu niingie kwenye siasa. mimi ni mwanachama mwaminifu wa ccm. hayo maneno ni uzushi na nitaongea na wanasheria wangu washughulikie hili swala. haya mambo ya kuchafuana hatuwezi kuyavumilia".mmoja wapo wa hao watu atasikika akijitetea. movie ndo imeanza.
 
msiwe wachafulie watu majina yao hapa jamani kama hizi taarifa hazina udhibitisho...nyie ndio mtafanya JF waifunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…