Majoja
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 612
- 186
You are right mkuu, Arusha haina Mbunge wa kuwatetea.Hivi kwanini baadh ya wanacdm mmeanza tabia za kimagamba ya kutokukubali kukubaliana,mwandika thread ana deserve kujibiwa na lema,kwa nn wengine mnabeza hiyo ni tabia ya kimagamba mnataka kila siku kusifiwa tu?sidhan kma kweli tunaitakia mema cdm hii tabia inajenga!wabunge wetu sio malaika na wanaitaji kukosolewa,kma kuna upupu achaneni nao najua kuna point kwenye alichoandika achaneni na habari za zidumu fikra.
Lema amekaa kimagwanda zaidi, maandamano kwa kwenda mbele.Vita haijawahi kujenga-maafikianao ndo unampata maendeleo.
This is a warning shot, Lema asipowaridhisha wana Arusha kwa kile walichomchagua kuwatetea ili maendeleo yapatikane -this will be his last position.
Watu wanapenda u-ONE MAN SHOW,mbunge na madiwani wakiwa na umoja ndio mikakati ya maendeleo ya wananchi at grass roots yanapatikana.
Mtu ukiamua kupambana na serikali ya magamba, hukosi wapambe, lakini grassroots hizo hizo ndo zinaumia.
Lema ni kimagwanda zaidi-maandamano kwa kwenda mbele.
BREAKING NEWS : mpambe wa Lema mbaroni kwa ujambazi Arusha!!