siku moja kabla ya rufaa ya godbless lema, kutakuwa na mkutano mktano mkubwa kwenye uwanja wa kujidai nmc utakao ongozwa na lema, joshua nasari sambamba nauongozi wa mkoa arusha. Wakati huo huo jeshi la polisi limeonekana kuingia kiwewe na kuanza kutishia kuuzuia mkutano huo bila kutoa sababu...
Si asubiri rufaa itoke kwanza? anaweza kuumbuka ati!!!
kwani kuongea na wapiga kura wake mpaka rufaa isikilizwe.
Mkutano utafanyika kweli nmc maana wanajenga soko pale kwa sasa hivi.... Maandalizi ya kujenga uzio yameanza
Kuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.
wacha ale kikwete kala ngapi yeye na mke wake na ridhiwani kama hujajisaidia kawahiKuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.
halafu na wewe umeanza kujenga nyumba pale chanika kwa pesa ya kulipwa na nape kwa kumsaidia kuwa katibu mwenezi kwenye mitandao, inasemekana umetafuna pesa zaidi ya bilioni sabiniKuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.
halafu na wewe umeanza kujenga nyumba pale chanika kwa pesa ya kulipwa na nape kwa kumsaidia kuwa katibu mwenezi kwenye mitandao, inasemekana umetafuna pesa zaidi ya bilioni sabini
Kuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.