Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue

Mahakama itatoa jibu

Sana mahakama itawatukana wafungua kesi na Jamuhuri kufuta kesi sababu haina.mshiko ni upumbavu mtupu.Mwenye akili timamu hawezi kwenda kumkamata watu ambao hawana hatia to sababu RC kasema.Alisomea ujinga au upumbavu??
 
Mahakama itatoa jibu
Mnajua hamna kesi ndio maana mnatumia mwanya wa polisi kuwaweka kizuizini na kuwanyima dhamana!Nawaambia,haya mambo yatapobackfire,neither u nor ur family will be safe!
 
Wamefanya mkutano? Hii ndio kwanza naisikia kutoka kwako mkuu..anyway kwa nini wasipelekwe mahakamani basi..kwani sheria inasemaje juu ya mtuhumiwa kukaa mahabusu zaidi ya saa 24? Tusaidiane katika hilo mkuu!
Mtuhumiwa anaweza kukaa mahabusu YA POLISI mpk mwezi mmoja kwa amri ya RCO. Lkn masaa 24 ni ya siku za kazi tu.
 
Sana mahakama itawatukana wafungua kesi na Jamuhuri kufuta kesi sababu haina.mshiko ni upumbavu mtupu.Mwenye akili timamu hawezi kwenda kumkamata watu ambao hawana hatia to sababu RC kasema.Alisomea ujinga au upumbavu??
Wanajua hawana kesi ndio maana wanatumia mgongo wa polisi kuwanyanyasa kwa kuwaweka ndani na kuwanyima dhamana!
 
Mtuhumiwa anaweza kukaa mahabusu YA POLISI mpk mwezi mmoja kwa amri ya RCO. Lkn masaa 24 ni ya siku za kazi tu.
Hujui sheria unabwabwaja,RC mwenyewe ana uwezo wakumshikilia mtu kwa saa 48 tu,tena sheria inasema ikiwa uwepo wa mtu huyo nje utahatarisha usalama!Sasa wao wanaitumia sheria hiyo vibaya na kuwakandamiza wanyonge!Ukiweka hapa hiyo sheria ya RCO kumzuia mtu mwezi,nahama nchi!
 
Kubwa la maadui limetulia magogoni linachabo movie ya Gamboshi
 
Sana mahakama itawatukana wafungua kesi na Jamuhuri kufuta kesi sababu haina.mshiko ni upumbavu mtupu.Mwenye akili timamu hawezi kwenda kumkamata watu ambao hawana hatia to sababu RC kasema.Alisomea ujinga au upumbavu??
Unachosema kinawezekana ...lkn hiyo ndiyo sheria lazima upande mmoja ushinde na mwingine ushindwe. Lkn inaashiria demokrasia iliyokomaa kwani polisi ni serikali mahakama ni serikali lkn raia anaweza kuishinda serikali bila shida.
 
Mnajua hamna kesi ndio maana mnatumia mwanya wa polisi kuwaweka kizuizini na kuwanyima dhamana!Nawaambia,haya mambo yatapobackfire,neither u nor ur family will be safe!
Huwezi kujua hamna kesi mpk mahakama iamue kila mtu anafanya kazi yake.
 
Jumatatu watafikishwa mahakamani na kudhaminiwa huko na kwakuwa tz demokrasia ni ya kiwango kikubwa japo hakitoshi wanaweza kuachiwa huru.
KIBITI: Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Mtunda auawa kwa kupigwa risasi

Wakati matukio kama hayo yanatokea,fungueni macho muangalie possibilities zote za vyanzo!
Endeleeni kupanda chuki
 
Mnafurahia padri kuwekwa mahabusu kwa kosa la kwenda kuombea wafiwa,

Soon and very soon you are going to pay the price, nafikiri viongozi wenu wa Kibiti wameanza kuvuna chuki mnazopandikiza.
Kosa sio kuombea wafiwa bali ni unlawful gathering kuhusu kuuwawa polisi au viongozi wa ccm ni uhalifu wenye mrengo Fulani. Hilo ni swala kawaida afrika na duniani. Westgate wakenya walivamiwa boko haram alqaeda Isis na m23 n.k
 
Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.

Acha wakae hadi next week ili wajitambue
Hata Nape Na malima walikuwa Na uwono Kama wako . Subiri zamu itafika kwa njia ambayo hujaitegemea.
 
Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.

Acha wakae hadi next week ili wajitambue
Ungependa labda wangesubiri kwa muda gani ili msiba upoe wakatoe rambirambi?

Mimi nafikiri ukisubiri muda mrefu baada ya msiba unaweza anzisha msiba tena
 
Back
Top Bottom