Lema: Kumchagua Lissu kuliondoa dhana CHADEMA kuwa chama cha wachaga

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
"Sisi wachaga ama watu Kilimanjaro na watu wa Kaskazini tunapaswa kuwa makini sana kwa muda mrefu sana watu wa Kaskazini wameonekana kama watu wanaojitenga na hata chama chetu wakati kinakuwa kilipigwa vita ni chama cha wachaga"

"Mimi wakati naingia kwenye kampeni za kumsaidia Lissu nilimuangalia Lissu Mwenyekiti Mbowe ni Mmachame kama mimi lakini katika demokrasia nilimuangalia Lissu na naweza nikasema mbele ya Mungu kuwa nilifanya uamuzi wa baraka kuliko wakati wowote katika maisha yangu ya siasa"

"Wananchi wa Moshi, lindeni heshima ya kanda yetu tukionekana sisi ni wabaguzi kwamba sisi tu ndiyo tunatakiwa kuongoza tutaharibu heshima yetu, tutapigania haki ya nchi hii siyo kwa sababu ya pesa ila ni kwa sababu tumeona nchi inahitaji kubwa la kubadilika"-Godbless Lema

Your browser is not able to display this video.
 
Na ni kweli, ile dhananya ukabila wameiacha sasa hivi
 
Huwezi ondoa ukabila uliopandikizwa na mzee mbowe kwa miaka thelathini ndani ya hiki chama sahau
 
Makabila yaliyo serious Africa huogopwa sana, na ukifanya hivi au vile unaitwa mkabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…