Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Amemwambia kinana anastahili kujiunga na futuhi
**Amekuja arusha kupokea viongozi wa CCM akidai wanatoka CHADEMA

**Palapala ni mwenyekiti wa kijiji cha Waso kwa tiketi ya ccm leo anadai amepokea kiongozi wa CHADEMA

**Ole Selanga alifukuzwa chadema toka Nov 2013 leo anadai kapokea mwenyekiti wa cdm wilaya
Alipita soko la kilombero kakuta mama anafagia kasimamisha msafara naye kaanza kufagia
Amemtaka aache kupiga kelele na kuwatukana mawaziri wake ovyo kama anaona hawawezi kazi aache sanaa amfuate mwenyekiti wake amueleze wawatoe.

**Soko la Kilombero hakuna mwananchi atakayehamishwa utafanyika ujenzi wa ghorofa kwenye kile kiwanja kulichoibwa kisha watahamia huko ndipo ujenzi uanze kilombero sokoni

**Hospitali ya mama na mtoto tayari ameshasaini mkataba ujenzi wa hospitali na chuo cha uuguzi uataanza kabla ya kampeni za uchaguzi kuanza

**Ambulance ziko mbili UK zitapakiwa alhamisi kuja Tanzania

**Trekta lipo

**Watoto wa shule aliowalipia mwaka wa kwanza baada ya hapo alizungumza na Mkurugenzi akatoa maelekezo kwenye shule zote watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wasio na uwezo wasitozwe Ada na limetekelezwa kwani hakuna mzazi aliyelalamika

**Kinana aliwahi kuwa mbunge wa arusha hakuna wakati maeneo ya wazi yakiuzwa kama kipindi hicho na ni vema akaeleza ilipo mashine ya kufua nguo ya hospital ya mt Meru....
 
mara hii visa kweli futuhi si ndo ile komedy na ata haichekeshi nahisi wale jamaa wanapiga kelele tu
 
teh teh ccm wanapomulia sijui wapi maana naona hewa imekuwa nzito sana kwao
 
Ccm chama dumeee mkijifanya wabishi tunadola itawatuliza na kwa taharifa yenu hata maliasili zote no za ccm
 
Hao futuhi nao watamkataa.. nani anataka majangili ya tembo kwenye vikundi vyao. Kashindwa kuwaeleza watu wa arusha alivyoiba mashine za mt. Meru hosp na kwenda kufungua falcon anakuja kuleta siasa zake za maji taka hapa. Mwizi mkubwa yule
 
Ccm hawana sera mpya watuletee daftari tujiandikishe ngoma tukaichezee vituoni ili Tuwaongezee dozi nyingine maana nafikiri ile ya s/mitaa bado haijawafunza adabu au bado haijapunguza tatizo la mtindio wa ubongo walilonalo
 
Back
Top Bottom