Lema, katika hili umekosea sana!

Sijakuelewa vizuri mheshimiwa. Unapomkosoa Lema tazama na upande wa pili. Hivi ni nani ukimpeleka London haji kusimulia. Waliompeleka Lema hapo hawakujua athari zake. Lema amepata pointi ya kuzungumzia kwenye majukwaa. Mahakama inapelekewa watu tu nao kwa sababu ya kushinikizwa huwashilkilia watuhumiwa kwa makosa madogo ya kusingiziwa.
 
huyo lema anajidai tuu hana lolote liccm damu hilo atuache na chadema yetu...litarudi tu ccm one day
 
Tatizo uchunguzi .muda Wa kusubiri uchunguzi unaweza zidi muda Wa kifungo .miaka 5 uchunguzi !!!???
 

Pole sana mkuu mpaka leo hujagundua Lema ni mgonjwa wa akili??? Jiulize wapiga kura wa Arusha walimtuma kwenda gerezani kutetea wafungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…