Lema, katika hili umekosea sana!

Lema, katika hili umekosea sana!

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Huyu Lema si ndio analaum maaskofu, sababu hawakwenda mahabusu kumuona
 
Tumeshachoka hamuwezi kuchukua nchi hii kwa kutukana mitandaoni jipangeni upya mtabaki kusema mmeibiwa
Poleni
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Hapo penye nyekundu: Msikilize Lema vizuri. Hao watu wamekaa ndani mahabusi miaka mingapi? Hawa wamekuwa kama wale mashekh wa uamusho. Yaani mpaka tumewasahau. Afadhali zamani kulikuwa na ile sheria kandamizi unawekwa ndani mpaka mheshimiwa akikukumbuka. Naona tumerudi huko. Lema amesema kama wana kesi wajibu kesi yao na wahukumiwe. Nadharia yake ni kama hayo yaliyomkuta Lema amekaa ndani miezi minne na sasa ndio kesi itaanza. Sasa hao jamaa kama wanashitakiwa kwa ugaidi ina maana hawatapata dhamana lakini jiulize ni haki kuwa ndani miaka 4 bila kesi yako kufanyika? Tafakari tena.
 
Mtoa mada punguza mahaba hata pasipostaili
Muda mwengine uruhusu ubongo wako ufanye kazi
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Tumia ubongo kidogo tu mkuu na utaelewa.Lema hajasema hawana hatia bali wanaonewa kwa kuwa kesi haipelekwi mahakamani,wahukumiwe au waachiwe huru.Kuendelea kuwashikilia bila kupeleka mahamani ambako kuna ushahidi mkubwa zaidi ya 90% kwa kadri ya Lema(aliyekatwa mguu) ni kuendelea kuwatesa.Hilo ni gumu kuelewa au mnatafuta sababu ya kumrudisha Kisongo?
 
Hivi lengo la mtu kuwa na ID's nyinginyingi ni nini?
 
Hukumuelewa, alichosema Lema ni kuwa kuna mahabusi wapo kule gerezani bila kupewa dhamana wala kufikishwa mahakamani huo ni uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu
Kwani hao mahabusu wameanza jana baada ya Lema kurundikwa ndani? wamekuwepo tangu enzi za Wajerumani. Lema ni mbunge wangu lakini sikukubaliana na hoja yake kwamba aliwekwa magereza kwa sababu yetu sisi wananchi wa Arusha, kwani sisi tulimtuma atukane? tuonane 2020
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Acha kutupotosha maana hata mimi jana nilikuwepo kwenye mkutano!
 
Msifie sana Mgema ila mwishowe utakunywa maji badala ya mnazi
 
Hapo umeongea nini sasa ? Nahisi unamatatizo wewe ,hakuna post pumba niliowahi kusoma kama hii.
 
Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Dah!! Kwa hiyo mkuu ukitendewa haki, huna haki ya kutetea wengine wasiotendewa haki!!!!!?
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Kesi inatakiwa ndani ya Siku 60 iwe imekamilika zaidi ya hapo kesi inatakiwa iondolewe na watuhumiwa kuachiwa huru tofauti na hapo huo ni uonevu na unyanyasaji kwa watuhumiwa labda kwenye kesi za mauaji ndizo mtuhumiwa anaweza akakaa miaka na miaka kwa kuwa zina utaratibu wake.

Na wakati wote huo wa kutuhumiwa,mtuhumiwa ana hesabika kuwa ni mtu asiyekuwa na hatia,kwa hiyo hakuna mahali alipokosea Lema kwa kusema kuwa ni watu wasiokuwa na hatia.
 
Kwenye Nchi Hii Wapumbavu ni Wengi Kuzidi Wanaojielewa.

Mtu Anaongelea Haki Na Kwa Mujibu WaSheria Za Nchi.

Sijajua Kabisa Nia Yako Ni Nini Hasa Kuanzisha Uzi Huu?

Mijitu M.i.p.u.m.b.a.v.u Inafanya Hii Nchi Kuwa Very Depressing Kuishi.

Unastahili Kuingia Kwenye Ignored List Ya Kila Mwenye Akili Timamu.
 
Lema kazidi ukanjanja yaani Mara hii tu ameshageuka CIA?? Arusha jitueni huu mzigo wa hasara! Hamna mbunge hapo.
Ww ni mpumbavu unataka kusema wana wa Arusha ni wajinga hata wamchague lema?au ww ni mbumbumbu kwenda wazm?
 
Jambo hujalielewa unakulupuka kumlaumu mtu tulia wakujuze walio elewa
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Mleta mada nafikiri umeshindwa kutumia ubongo wako vizuri nafikiri hujawai kukaa magereza hata mara moja ndio maana umekua mbwatukaji pili ungefanya utafiti juu ya tuuma walizokuwa nazo na muda waliokaa magereza binafsi katika hili bila ya kujali itikadi ya kisiasa wala kiimani naungana na Mh Lema ni vyema kama wakosaji wakahukumiwa kwa makosa yao na kama hawana hatia wakaachiwa huru, kuliko kuendelea kushikiliwa kwa miaka nenda miaka rudiziko wapi tasisi za haki za kibinaadam wamelinyamazia kwakuwa halina masilai ya kipato. Mleta mada hivi ingekuwa babaako ametendewa haya ungejisikiaje? tena katika nchi ambayo tunajinasibu inatawaliwa kwa mujibu wa sheria leo sheria iko wapi? Mh Lema yuko sahihi ukizingatia alikua na magereza. Wrote tuungane katika kupinga udhalimu huu kwakua leo wao kesho unaweza kuwa we mleta mada na viongozi wa serikali mungu anawaona ktk hili.
 
Back
Top Bottom