Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Na hawezi kumuelewa! Ni sawa na mtoto wa lapili umwambie mambo ya oyo empireHukumuelewa, alichosema Lema ni kuwa kuna mahabusi wapo kule gerezani bila kupewa dhamana wala kufikishwa mahakamani huo ni uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu
Well saidHakika walio kaa miaka sita mahabusu hawajaonewa kabisa Lema anamchonganisha rais wenu msema kweli na mtenda haki alobarikiwa! Barikiwa Sana na wew kijana tegemezi wa lumumba
K7ßJana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.
Kwa madai yake eti;
Mosi, wanaonewa!
Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.
Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?
Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.
Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.
Mchana mwema.
Wewe sasa ndo unakosea ZAIDI,kama hukumsikiliza vizuri ungekuja hapa kuuliza na sio kutaka kutuaminisha kuwa wengine hatukuelewa kilichosemwa ila wewe tu! Lema alisema " Sitetei ugaidi..." Ushahidi ukamirike na kama wanahatia wafungwe na si kukaa mahabusu miaka sita! Na hicho ndo kilimfanya apige kelele!Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.
Kwa madai yake eti;
Mosi, wanaonewa!
Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.
Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?
Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.
Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.
Mchana mwema.
Lini wamepelekwa Mahakamani? Je huo tu sio uonevu? Yeye kawasikiliza, wewe umewasikiliza? Kuna haja gani kuwaweka watu ndani hadi leo ilihali huna Ushahidi WA kumpeleka Mahakamani?Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.