DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Wanaukumbi.
Umaarufu wa Mbunge wa Arusha Mjini ulijijenga zaidi ktk maandamano ya kumpinga meya aliyepatikana kwa njia zisizo halali katika awamu iliyopita.
Aliongoza maandamano,akawa anakamatwa na polisi hapa Arusha Mara kwa Mara mpaka jina lake likawa kuubwa nje ya bunge.
Arusha wanashangaa ujio mpya wa mbunge wao ktk awamu hii kwani amekuwa anaibua masuala mazito bungeni likiwamo suala la Lugumi na hatua ya kumfustrate aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani.
Huu ni ujio mpya wa GODBLESS LEMA anayefahamika?