Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

Dah!! Yaani wewe kwa UMALAYA hukamatiki!!
Likitajwa jambo la Mwanza - Upo na unalijua,
la DSM - Unalijua pia,
la Arusha - Ni wewe tu,
Kila mahali - Upo!!!!

Vipi dada mbona una kiherehere saaaanaaa???

NDO TABIA ZA WAUZA K...MA HAO KILA MWICHI LZM HAUJUE. Khaa a. ...
 
Mbunge wa Arusha mjini kupitia CHADEMA, G. Lema amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumng'oa katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Arusha mjini.

Source: uchambuzi magazetini leo.

My Take:
Lema anataka kung'ang'ania ubunge wa Arusha mjini kwa kipi alichokifanya Arusha kwa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano?

Anadhani wananchi wamesahau ambulance za wagonjwa alizouza? Trekta za wakulima hajaeleza alikozipeleka zaidi ya kujitetea kupitia washabiki wake kuwa zipo bandarini, viwanja vya Burka kwa ajili ya maendeleo alivyojitaifishia?, ubadhilifu wa fedha za mfuko wa jimbo, fedha za kusomesha watoto wasiojiweza haijulikani alikozipeleka na watoto kuachwa kwenye mataa!

Ni vigumu sana Lema kurudia kiti cha ubunge Arusha, si kupitia tu Chama Cha Demoghasia na Maandamano (CHADEMA), bali hata akijibadilisha sura, hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili timamu kwani ameiharibu Arusha kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimaendeleo.

Hebu elezea vizuri hizo ambulance na hayo matrekta na viwanja aliviuzaje yeye kama mbunge. Vilikuwa mikononi mwake yeye kama nani? Nilidhani hayo mambo yanadhibitiwa na halmashauri ambayo ni ya CCM. Eleza uhusika wake katika hizo tuhuma zako.

Jambo jingine, suala hapa si kung'ang'ania, ni suala lenu wana CCM kumwondoa kwa kura maana kwa mizengwe ya mahakamani mlishindwa awamu ya kwanza tayari na mtashindwa tena mkijaribu. Ingekuwa sahihi kama ndani ya Chadema wangesema Lema anang'ang'ania kugombea ubunge ila si kwenu ninyi. Ila kuna tetesi kuwa mwenyekiti wenu anataka kung'ang'ania ikulu bila hata maamuzi ya kura...huko ndio sasa tunaweza kuita kung'ang'ania (kama ni kweli)

Kama una hakika kuwa wananchi wanakumbuka huo 'uovu' wake, wala usikose usingizi na wala msiunde mizengwe, watampiga chini wachague huyo wa kwenu. Lakini kama hayo ni matamanio yenu tu na hayako kwenye mioyo ya wana Arusha, mtaishia kuiomba mahakama iwasaidie kila wakati!
 
Yote uliyotaja hapo juu hakuna jukumu la mbunge hapo.. tatizo mnaweweseka na kuhaha sana wakati huu.. Ameshasema hata asipopiga kampeni ubunge hakosi Arusha
 
Lema kwa Arusha sisi kina gogo la shamba tumeshasema ni sawa na Messi na Bacelona,kusema Lema hatakiwi Arusha ni kujidanganya na hilo ndio kosa kubwa la ccm, kuacha kusema ukweli na kukalia hila
 
Mbunge wa Arusha mjini kupitia CHADEMA, G. Lema amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumng'oa katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Arusha mjini.

Source: uchambuzi magazetini leo.

My Take:
Lema anataka kung'ang'ania ubunge wa Arusha mjini kwa kipi alichokifanya Arusha kwa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano?

Anadhani wananchi wamesahau ambulance za wagonjwa alizouza? Trekta za wakulima hajaeleza alikozipeleka zaidi ya kujitetea kupitia washabiki wake kuwa zipo bandarini, viwanja vya Burka kwa ajili ya maendeleo alivyojitaifishia?, ubadhilifu wa fedha za mfuko wa jimbo, fedha za kusomesha watoto wasiojiweza haijulikani alikozipeleka na watoto kuachwa kwenye mataa!

Ni vigumu sana Lema kurudia kiti cha ubunge Arusha, si kupitia tu Chama Cha Demoghasia na Maandamano (CHADEMA), bali hata akijibadilisha sura, hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili timamu kwani ameiharibu Arusha kiuchumi,.

Kelele Za Chura Hizo Njoo Leo Arusha Kunamkutano Wa Lema Uone
 
magamba mtaweweseka sana na mwaka huu. mbona una chuki sana na chadema? mtahangaika sana mwaka huu. hebu rudia kwanza uone ulichokiandika kwenye utumbo wako huu. mknd wako!
 
Last edited by a moderator:
Lema amewavuruga sana CCM hadi hawana la kufanya Zaidi ya kulalama.... Arusha walishasema categorically kuwa CHADEMA ikisimamisha Jiwe Vs Mgombea yeyote wa CCM bado Jiwe litashinda!!! Ukitaka kujua kuwa Lema anakubalika kwenye Jimbo lake waguse Machinga na akinamama wa Soko la Kilombero ... Tunajua kuwa CCM wamehujumu sana maeneo ambayo wameshindwa, LAKINI; hali hiyo imeongeza chuki dhidi yao na sasa wamedhamiria kuing'oa madarakani mwaka huu ...
 
Ni wewe nakufahamu kinyozi wa pale ile saluni karibu na AM Hotel, ndo mlionunuliwa na ACT, eti mnaenda kuwahonga vijana wa masaluni ili mfungue matawi yenu mkizan eti kwenye barbershop ndo kuna vijiwe vya kisiasa. Yaan chama chochote cha kisiasa hakitaweza kuking'oa chadema Arusha.
 
Mbunge wa Arusha mjini kupitia CHADEMA, G. Lema amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumng'oa katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Arusha mjini.

Source: uchambuzi magazetini leo.

My Take:
Lema anataka kung'ang'ania ubunge wa Arusha mjini kwa kipi alichokifanya Arusha kwa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano?

Anadhani wananchi wamesahau ambulance za wagonjwa alizouza? Trekta za wakulima hajaeleza alikozipeleka zaidi ya kujitetea kupitia washabiki wake kuwa zipo bandarini, viwanja vya Burka kwa ajili ya maendeleo alivyojitaifishia?, ubadhilifu wa fedha za mfuko wa jimbo, fedha za kusomesha watoto wasiojiweza haijulikani alikozipeleka na watoto kuachwa kwenye mataa!

Ni vigumu sana Lema kurudia kiti cha ubunge Arusha, si kupitia tu Chama Cha Demoghasia na Maandamano (CHADEMA), bali hata akijibadilisha sura, hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili timamu kwani ameiharibu Arusha kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimaendeleo.

usiulize LEMA kaifanyia nni arusha.. jiulize wewe na CHAMA CHA MAFISADI mmeifanyia nini tanzania yetu muda wote wa miaka 51 mnaturudisha nyuma badala ya kutupeleka mbele
 
magamba mtaweweseka sana na mwaka huu. mbona una chuki sana na chadema? mtahangaika sana mwaka huu. hebu rudia kwanza uone ulichokiandika kwenye utumbo wako huu. mknd wako!

kama wa MCHAROOOO asee!!
 
Last edited by a moderator:
CCM kulikomboa Jimbo la Arusha ni sawa na shetani kutaka kumega sehemu ya himaya ya Mungu.
 
Lema ataendelea kuwa mbunge wa Arusha mpaka atakaposema baaaasi, au Mungu achukue uhai wake, na tutachagua jembe lingine kutoka chadema, ccm haman chenu tena Arusha, huyo katibu wenu Kinana alikuwa mbunge kwa muda mrefu aliifanyia nini Arusha zaidi ya kuachia wasomali wenzake kuuza mirungi na madawa ya kulevya? Wala hakuna mtu aliekuwa anajua kama jimbo lina mbunge kwa kuwa hakuwa anaishi Arusha, Kinana aliiba mashine za kufulia nguo za hospital akafungualia biashara haya ndio maendeleo eti eee.
 
Mbunge wa Arusha mjini kupitia CHADEMA, G. Lema amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumng'oa katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Arusha mjini.

Source: uchambuzi magazetini leo.

My Take:
Lema anataka kung'ang'ania ubunge wa Arusha mjini kwa kipi alichokifanya Arusha kwa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano?

Anadhani wananchi wamesahau ambulance za wagonjwa alizouza? Trekta za wakulima hajaeleza alikozipeleka zaidi ya kujitetea kupitia washabiki wake kuwa zipo bandarini, viwanja vya Burka kwa ajili ya maendeleo alivyojitaifishia?, ubadhilifu wa fedha za mfuko wa jimbo, fedha za kusomesha watoto wasiojiweza haijulikani alikozipeleka na watoto kuachwa kwenye mataa!

Ni vigumu sana Lema kurudia kiti cha ubunge Arusha, si kupitia tu Chama Cha Demoghasia na Maandamano (CHADEMA), bali hata akijibadilisha sura, hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili timamu kwani ameiharibu Arusha kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimaendeleo.[/QUOTE]

Baada ya kusoma hiyo sentensi yako ya mwisho, nikahitimisha kwamba yote uliyoaandika hapo juu ni upuuzi ambao ahuna mashiko.

Well hung on for a second, lakini sio makosa yako because you have a pigeon brain!
 
Arusha kwa nini tuwe wajinga kama mijitu mingine....hebu angalia hao watu wanavyotamba na rasilimali zetu ona wanavyochukuwa migodo huko merarani.heri ya huyuhuyu tuliyenae kuliko mwingine
 
Naona umeamua kututukana sisi wanachi wakaazi wa arusha,we ni nani hadi utuamulie cha kufanya? Umetumwa na nani? Umekula maharage gani? Sisi tutamchagua mh lema na tuna imani naye sana

wewe na neema au?!!
 
Back
Top Bottom