Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

Arusha kwa nini tuwe wajinga kama mijitu mingine....hebu angalia hao watu wanavyotamba na rasilimali zetu ona wanavyochukuwa migodo huko merarani.heri ya huyuhuyu tuliyenae kuliko mwingine

Ni kweli mkuu huyu huyu lema atatufaa kwani hatuwezi jua huyo wa ccm ambao leo hii wanashindwa kuhoji hii tabia ya wazungu kubeba mchanga toka machimbo na kuupeleka ulaya,kwanini wasihoji nini kilichomo kwenye huo mchanga?
 
Mbunge wa Arusha mjini kupitia CHADEMA, G. Lema amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumng'oa katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Arusha mjini.

Source: uchambuzi magazetini leo.

My Take:
Lema anataka kung'ang'ania ubunge wa Arusha mjini kwa kipi alichokifanya Arusha kwa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano?

Anadhani wananchi wamesahau ambulance za wagonjwa alizouza? Trekta za wakulima hajaeleza alikozipeleka zaidi ya kujitetea kupitia washabiki wake kuwa zipo bandarini, viwanja vya Burka kwa ajili ya maendeleo alivyojitaifishia?, ubadhilifu wa fedha za mfuko wa jimbo, fedha za kusomesha watoto wasiojiweza haijulikani alikozipeleka na watoto kuachwa kwenye mataa!

Ni vigumu sana Lema kurudia kiti cha ubunge Arusha, si kupitia tu Chama Cha Demoghasia na Maandamano (CHADEMA), bali hata akijibadilisha sura, hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili timamu kwani ameiharibu Arusha kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimaendeleo.[/QUOTE]

Baada ya kusoma hiyo sentensi yako ya mwisho, nikahitimisha kwamba yote uliyoaandika hapo juu ni upuuzi ambao ahuna mashiko.

Well hung on for a second, lakini sio makosa yako because you have a pigeon brain!

Umempa za kutosha mzee maana ameingia kwa ngozi ya kondoo kumbe ni chui
 
Lema ataendelea kuwa mbunge wa Arusha mpaka atakaposema baaaasi, au Mungu achukue uhai wake, na tutachagua jembe lingine kutoka chadema, ccm haman chenu tena Arusha, huyo katibu wenu Kinana alikuwa mbunge kwa muda mrefu aliifanyia nini Arusha zaidi ya kuachia wasomali wenzake kuuza mirungi na madawa ya kulevya? Wala hakuna mtu aliekuwa anajua kama jimbo lina mbunge kwa kuwa hakuwa anaishi Arusha, Kinana aliiba mashine za kufulia nguo za hospital akafungualia biashara haya ndio maendeleo eti eee.

Arusha ulikua ni mji wa kisomali
 
Hahaha , Lema anachekesha sana, yaani kwa akili zake anafikiri mji wa arusha ni wake na familia yake, hii nayo kali, kwani LEMA ni nani miipaka CCM au ch
ama kingine chochote kishindwe kumtoa hapo arusha,?? huyu mtu anatudharau sana kufikia hatua hii ya kutoa kauli kama hii, ni kujitangazia ufalme, na kwenye ardhi ya wamasai na wameru hatujawahi kupata mtawala wa kichaga, kama anataka ufalme akatawale huko kwao moshi.

Mkuu acha ukabila usiwe kama Ruiz aliyesema rais wa Tanzania hawezi toka kaskazini,ulimkubali?

Mhukumu kutokana na utendaji wake hapo ndipo tutaamtendea haki yeye na jukwaa letu adhimu
 
stay tuned...sisiem ndo habare ya mjin Arusha.. tumechoka kumwaga damu na kuwachwa na vilema na CDM!!
 
Mkipigwa ban ya miezi sita mnalalamika,kumbe ni sabababu ya tabia zenu


vyovyote itakavyokuwa kamanda, tunataka mbunge jembe hasa hapo ar kutoka chadema......jembe kichwani akisimama bungeni wananchi wanakuwa na shauku kusikiliza ataongea nn!
lema ni mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa.....kama ni lazima kuwa kiongozi ndani ya chama basi apewe kazi za kuhamasisha zitamfaa zaidi.
 
chadema kama mnalitaka jimbo la arusha badilisheni mgombea
 
vyovyote itakavyokuwa kamanda, tunataka mbunge jembe hasa hapo ar kutoka chadema......jembe kichwani akisimama bungeni wananchi wanakuwa na shauku kusikiliza ataongea nn!
lema ni mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa.....kama ni lazima kuwa kiongozi ndani ya chama basi apewe kazi za kuhamasisha zitamfaa zaidi.

Kuna vijana 100 tunaojuwa wamelipwa na kwa kushirikiana x driver wa lema wameamua kufanya kila wachoweza ili lema aukose ubunge,kwa hilo wamechemka kwani sisi wananchi wa arusha tunamhakikishia mh lema ataendelea kutuwakilisha bungeni hadi atakapo amua yeye kuaachia jimbo
 
monaban a.k.a Philemon Mollel na Deo Mtui wanajipanga kumngoa lema mwaka huu chadema wajiandae kisaikolojia.
 
Kuna vijana 100 tunaojuwa wamelipwa na kwa kushirikiana x driver wa lema wameamua kufanya kila wachoweza ili lema aukose ubunge,kwa hilo wamechemka kwani sisi wananchi wa arusha tunamhakikishia mh lema ataendelea kutuwakilisha bungeni hadi atakapo amua yeye kuaachia jimbo


mkuu,
naona unahangaika kweli kumtetea lema na hii yote ni kwa sabb huyo jamaa hakuutendea haki ubunge wake ktk wakati wake....vinginevyo ingekuwa kazi nyepesi sana kwako.
binafsi nimemuona nasari akishiriki shughuli nyingi za maendeleo jimboni kwake tofauti kabisa na lema ingawa mwanzoni naye alitaka kuiga staili ya lema - pongezi ziende kwa waliomshauri hatimaye akabadilika mapema!
 
Back
Top Bottom