chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,369
- 27,785
Lema hana chake Arusha, Amevuruga sana uchumi wa Arusha
atakuwa amekuvuruga na wewe pia siyo bure,.
teh teh teh teh
Lema hana chake Arusha, Amevuruga sana uchumi wa Arusha
Lema ndiye aliwafundisha kupiga viongozi mawe.
viongozi walianza kurushiwa mawe arusha wakati wa maandamano ya wafuasi wa Chama Cha Demoghasia na Maandamano.
viongozi walianza kurushiwa mawe arusha wakati wa maandamano ya wafuasi wa Chama Cha Demoghasia na Maandamano.
Yani we kila jimbo la upinzani umeshatembea na unajua status ya maendeleo yao,hongera sana bibi yetu...
Njoo kwenye mkutano leo ndio utajua amefanya ninikikatiba kipindi cha ubunge ni miaka mitano, na Arusha hakujawa na wabunge wawili hivyo unavyokanusha ubunge wa miaka mitano sijui unamaanisha nini huku wakati alipovuliwa ubunge na barabara za arusha kuwekwa lami aliendelea kujisifia iliwekwa katika kipindi chake. Mbunge gani anapingana na mipango ya maendeleo katika jimbo lake?
Lema hana chake Arusha, Amevuruga sana uchumi wa Arusha
Hahaha , Lema anachekesha sana, yaani kwa akili zake anafikiri mji wa arusha ni wake na familia yake, hii nayo kali, kwani LEMA ni nani mpaka CCM au chama kingine chochote kishindwe kumtoa hapo arusha,?? huyu mtu anatudharau sana kufikia hatua hii ya kutoa kauli kama hii, ni kujitangazia ufalme, na kwenye ardhi ya wamasai na wameru hatujawahi kupata mtawala wa kichaga, kama anataka ufalme akatawale huko kwao moshi.
Teeeh,teeeh,teeeh,hiyo my take umeisikia kwa nani? Hata matumizi yake huyajui?
Lema hana chake Arusha, Amevuruga sana uchumi wa Arusha
Naona umeamua kututukana sisi wanachi wakaazi wa arusha,we ni nani hadi utuamulie cha kufanya? Umetumwa na nani? Umekula maharage gani? Sisi tutamchagua mh lema na tuna imani naye sana
viongozi walianza kurushiwa mawe arusha wakati wa maandamano ya wafuasi wa Chama Cha Demoghasia na Maandamano.