Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

mkuu,
naona unahangaika kweli kumtetea lema na hii yote ni kwa sabb huyo jamaa hakuutendea haki ubunge wake ktk wakati wake....vinginevyo ingekuwa kazi nyepesi sana kwako.
binafsi nimemuona nasari akishiriki shughuli nyingi za maendeleo jimboni kwake tofauti kabisa na lema ingawa mwanzoni naye alitaka kuiga staili ya lema - pongezi ziende kwa waliomshauri hatimaye akabadilika mapema!

Lema ni mbunge wa arusha piga ua
 
Lema kazi kubwa iliifanya ambayo anahitaji kupongezwa kuifanyie ccm kuwa wapinzani Arusha kuhusu kuendelea kuwa mbunge tutajua muda ukifika naona team ya ccm wameshaanza kupaniki .
 
Lema kazi kubwa iliifanya ambayo anahitaji kupongezwa kuifanyie ccm kuwa wapinzani Arusha kuhusu kuendelea kuwa mbunge tutajua muda ukifika naona team ya ccm wameshaanza kupaniki .

Ccm mkuu wamesha changanyikiwa na sasa hivi wanafanya kila aina ya fitina ili kulipata hilo jimbi,lkn hawataweza
 
Hahahah haaaaaaa CCM kimewawakia kali ya mwaka wataiona mwaka huu. Hao wote wanao laani utendaji wamezoea vya mtelemko na Posho za Vikaooooo. jaman umaskin Mbaya. We unaepayuka Mtoto wakiume utaolewa kupenda kuishi kwa posho fanya kazi hao CCM unao wapigiadebe hawana Ela watakupa Nini? Ngoja uolewe we na Mkeo. Hiki kipindi Cha Harakati Chadema Hata Atawale Chizi Chadema Daima. Kwani hata kichaa kikitulia Chizi ufanya mambo ya maana kuliko Mlevi(CCM) Makamanda Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.:director::israel:
 
Lema kazi kubwa iliifanya ambayo anahitaji kupongezwa kuifanyie ccm kuwa wapinzani Arusha kuhusu kuendelea kuwa mbunge tutajua muda ukifika naona team ya ccm wameshaanza kupaniki .

kweli mkuu
 
Deo mtui , Kim, munishi na monaban wote wanatugawa wanachama kupata ushindi mnono jimbo la Arusha.
 
Lema anaaibisha Arusha. Hakuna kitu chochote cha maana alichochangia Bungeni.
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Nasikia hata deni la Taifa kuongezeka toka 10 trillioni 2005 hadi kufikia 40 trilioni 2015 ni Lema anahusika, na kuanguka kwa thamani ya shilingi toka T.shs 1,169 2005 hadi 2,000 2015 pia ni Lema huyo huyo! Kama kungekuwa na mashindano ya uzushi nchini basi buku 7 hamna ushindani pamoja na kile kitengo chenu cha ugaidi.

Lema hana chake Arusha, Amevuruga sana uchumi wa Arusha
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Nasikia hata deni la Taifa kuongezeka toka 10 trillioni 2005 hadi kufikia 40 trilioni 2015 ni Lema anahusika, na kuanguka kwa thamani ya shilingi toka T.shs 1,169 2005 hadi 2,000 2015 pia ni Lema huyo huyo! Kama kungekuwa na mashindano ya uzushi nchini basi buku 7 hamna ushindani pamoja na kile kitengo chenu cha ugaidi.

nani kakuvuruga?
 
Back
Top Bottom