Mkuu lazima ukubaliane na mimi kwa hili!
Nina wasiwasi kuna kamchezo kanachezwa na nyie mnaakia kushabikia, haiwezekani hatujasikia hata siku moja kuna sera
Hawa watu wanatekeleza kwa vyama vyao, kila siku ni post za kujisifia. Na kwa kuwa wana fake ID nina mashaka sana..
Pia Rejao yupo right ndugu yangu, mtu aliye na uongozi kama mbunge kwa nini ufiche ID yako?? ni uoga tu na uwezo mdogo wa
kujibu hoja!
Dah! yaani imebidi nicheke niliposoma komenti yako.Mkuu lazima ukubaliane na mimi kwa hili!
Naona unachekelea sana habari za uwanja wa nyumbani. Lema kashindwa kuja dar? Naona anachezea tu Arusha...
Tume ya Katiba unamahanisha Cruishwiser ni Lema?mbona watu wanasema wewe ni Nape ila unatumie invisible ID!
Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT
Lema ni "Son Of Tanzania". Ni mpigania ukombozi halisi Tanzania.
Mkuu wangu nitake radhi umenikosema sana!
mimi ni mjumbe wa tume ya katiba toka znz na kudhihirisha ID yangu ni hatari kwa zoezi zima la mchakato wa maoni ya
katiba mpya!
Kama ana uwezo, mkaribisheni humu ndani tuone na tupime uwezo wake. Mbona wenzake wanaojiamini wapo humu ndani?Hapa we ndo unaonyesha IQ yako ilivyo chini....ungekuwa juu usingesema haya maneno yako...mwenye IQ kubwa lazma ajitofautushe na mwenye ndogo ila kwa hili lako your IQ is very LOW
Mnafikiri mnabomoa kumbe mnatuimarisha! Hii nguvu yenu ya soda itaisha tu baada ya siku si nyingi.Maswali kama haya huwa wanaya kwepa na kuleta porojo wewe waache wandelee na porojo sisi tunabomoa kila kukicha..
Huyo mungu wenu atakuwa na walakini!Tulianza na Mungu, tunamaliza na Mungu.
M4C with no apology.
out of topic.wabunge wote wa chadema wasiojisajiri jf kwa majina yao nina mashaka nao!
why?
mkuu william aka baharia, alipokutana na nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member jf, lakini cha ajabu
hakuna id ya nasary tunaoijua.
Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, mimi natilia shaka huenda ni..........
Anyway just guessing .................