Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT
Kwani kwake ni wapi????Naona unachekelea sana habari za uwanja wa nyumbani. Lema kashindwa kuja dar? Naona anachezea tu Arusha...
Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT
Naona unachekelea sana habari za uwanja wa nyumbani. Lema kashindwa kuja dar? Naona anachezea tu Arusha...
Mtu kutumia jina lake halisi au ID tofauti ni uhuru wake,mbona we unajiita tume ya katiba ina mana ndo jina lako halisi?
naona umekubali kwamba arusha imeshaifanya ccm hakuna!Naona unachekelea sana habari za uwanja wa nyumbani. Lema kashindwa kuja dar? Naona anachezea tu Arusha...
IQ inapimwa kwa kutumia nini?Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT
CCM arusha matumbo joto hawajui kesho nani atawakimbia...
Mkuu lazima ukubaliane na mimi kwa hili!
Nina wasiwasi kuna kamchezo kanachezwa na nyie mnaakia kushabikia, haiwezekani hatujasikia hata siku moja kuna sera
Hawa watu wanatekeleza kwa vyama vyao, kila siku ni post za kujisifia. Na kwa kuwa wana fake ID nina mashaka sana..
Pia Rejao yupo right ndugu yangu, mtu aliye na uongozi kama mbunge kwa nini ufiche ID yako?? ni uoga tu na uwezo mdogo wa
kujibu hoja!
Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT
Mpe Rejao
Wabunge wote wa chadema wasiojisajiri JF kwa majina yao nina mashaka nao!
why?
Mkuu William aka baharia, alipokutana na Nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member JF, lakini cha ajabu
hakuna ID ya nasary tunaoijua.
Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, Mimi natilia shaka huenda ni..........
anyway just guessing .................
Mtu kutumia jina lake halisi au ID tofauti ni uhuru wake,mbona we unajiita tume ya katiba ina mana ndo jina lako halisi?
TAHADHARI: YAWEZEKANA HII HAMA HAMA YA WANA-CCM IKAWA NI MBINU ZA KUTUMA MAMLUKI KATIKA VYAMA VYA UPINZANI HUSUSAN CDM. UONGOZI WA CDM UKUMBUKE MREMA ALIPOTOKA CCM AKENDA NCCR NA KISHA KWENDA TLP. :A S-fire1: