EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Mh. Lema kubali maendeleo yaje kwa faida ya wengi; hizo guest house za Kaloleni zina tija kidogo sana kwa uchumi wa jiji letu la Arusha
mkuu, maendeleo ni nini?. Kuwahamisha watu 24000 elfu bila mpangilio ili ujengwe mji mpya ni maendeleo? Acha uvivu kasome kuhusu contract law na pareto efficiency ili uone umuhimu wa kushirikisha pande zote katika circumstance kama hizo. Huo mji mpya wataihi akina nani? Siyo suala la kupinga maendeleo, ni namna 2 yanavyokuja. Halafu ni kwa nini zabuni za miradi mikubwa kama hiyo zisitoe kipaumbele kwa kampuni za kitz hata kama itakuwa ni kwa kuunganisha kampuni nyingi? Kutoa zabuni kwa wageni kunafanya pesa ze2 ziende nje na hivyo kupunguza umuhimu wa multiplier effect katika eneo husika.