Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Kamanda Yericko, Pamoja sana tujuzeni kinachoendelea sisi huku pembezoni mwa Nchi tunawafuatilia kwa ukaribu sana na tunachokiamini ni kwamba, kamwe haki ya mtu haipotei bali huwa inacheleweshwa tu na watu dhalimu.
 
wakuu acheni mambo yasiyoendana na hii kesi basi, tujadili update kila zinapokuja, tuwe wauungwana kidogo, ni ombi tu
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho, siku zote mwenyezi mungu si comi hivyo atatenda kulingana na haki inavyotakiwa,lakini itategemea na je wewe unawatendea wenzako vizuri?kwani yeye anakupimia kulingana na unavyowapimia wenzako
 

Mkuu yaani wewe kama mimi Jana nimelala sa 9 usiku
nimeamka sa 12 bado nafuatilia mtukio


Leo ni LEMA'S DAY (21.12.2012)
 
Mkuu hali si nzuri kuna kitu nimeelezwa kutoka ndani ya moja ya ofisi nyeti,kuna watu wanaweza kuzimia hapo.i mean kwamba matarajio ya wengi yanaweza kuwa kinyume mkuu!!!!!!!!!!lakini tusubiri ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

Tunasubiri majibu ya aina yoyote kamanda sisi arusha tuko tayari kufa na Lema
 
wakuu acheni mambo yasiyoendana na hii kesi basi, tujadili update kila zinapokuja, tuwe wauungwana kidogo, ni ombi tu
Sasa wakati tunasubiri update situnaendelea kuongea kaka au tukae kimya wakati tunatarajia furaha???
 
...nina imani na panel (wale majaji-3),siyo aina ya majaji wanaojipendekezaga ikulu. Cdm mnaweza kushinda leo,sisi Ccm tunategemeaga sana uwoga wa majaji. Lakini kwa hawa daah,nina wasiwasi km watatubeba!!
 
Sasa wakati tunasubiri update situnaendelea kuongea kaka au tukae kimya wakati tunatarajia furaha???

poa kamanda Erick, tuko pamoja, naamini haupo kwenye lile group la kuua panya.
 
watu tumeshaomba udhuru makazini tunasubia tupewe mbunge wetu tuponde mastarehe,GOD BLESS GODBLESS LEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…