Lema ameteseka vya kutosha....sasa arudishiwe haki yake
Kamanda Ben Saanane naye ndo anaingia.....
Kamanda Ben Saanane naye ndo anaingia.....
Arusha ya Arusha
Mkuu hali si nzuri kuna kitu nimeelezwa kutoka ndani ya moja ya ofisi nyeti,kuna watu wanaweza kuzimia hapo.i mean kwamba matarajio ya wengi yanaweza kuwa kinyume mkuu!!!!!!!!!!lakini tusubiri ilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
Hata km ni kusingiziwa ni mtoto tu ingawa huyu ni mbabuHuwezijua bana, kitanda hakizai haramu!
Karibu.
Labda anadhani Babati bado iko Arusha LiverpoolFCMumwi; A town ya wapi? Acha zako wewe! Jitokeze na ujenge Nchi kijana acha uwoga! Eti ARUSHA ya ARUSHA!
Kamanda Yericko Nyerere walete walete hao majaji,na kwa sababu umethibitisha kwamba hali ya hewa ni nzuri basi tunaamini tayari mambo ni mazuri,ila wale wanaoendelea kulumbana watuvumilie kwanza kwa muda wasiingize zile Thread zao za kujibizana kwa sababu najua kuna mwingien naye leo anakuja kumwagika humu,wasubiri kwanza tukishamaliza masuala ya hukumu basi waje humu tena tuanze kuona mnyukano wao.