Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

-
Hawa ndo waliofungua kesi

Hawa watu mbona sura zao kama wanaenda kunyongwa vile?
 
Tetesi eti wamekata tena rufaa.

Mkuu wafanye haraka, ila cjui watapeleka mahakama gani tena? maana wakili wao alipinga rufaa ya Lema. Walipoona hiyo rufani haiwezi kutupwa nao wakakata rufaa kuwa Jaji Rwakibarila alitupilia mbali baadhi ya hoja zao muhimu.
So nathani hoja zote ziliangaliwa simultaneously.
 
Ukweli haupingiki, japo utacheleweshwa, na usumbufu na udhalilishaji mwingi leo tunamshukuru Mungu amerejesha furaha ya wengi na haki imetendeka japo kwa usumbufu mwingi. tunawaomba hawa magamba watuache Arusha tumechoka kusumbuliwa, waache tupate raha na mbunge wetu jamani.

CHadema Inaweza kuongoza. Hongera Chadema, Hongera Mbunge wetu mh. Lema
 

real JF ipo juu.
 
ushindi wa lema na cdm + x mass mabo ni shwari kabisa. piiipooooooz.............
 
Peoples power........................!

PM7 mpo wapi makamanda...!
 
Jibu hoja wewe!!! Uko nje ya mada.... Au kama unataka nitukane kwa kuni-pm badala ya kuongea vitu binafsi kwenye uzi. Unajiaibisha bure.

garbage in garbage out

sijawahi kujibu hoja za kijinga na kipuuzi ... and i will not reply to any foolishness and what so ever
 
Hongera Lema,hongera Wanamapinduzi wote hii ni chachu ya Safari ndefu ya Ukombozi wa Mnyonge.
 
Anarudi mjengoni kwa mara ya mwisho... 2015 atalisikia kwenye redio na kuliona kwenye TV tu. Shika maneno yangu ingawa yanauma.....

Wewe endelea kujifariji tu, Kwani hata hii ya leo si mlikwisha apa hatorudi na kushangilia????
 
Hakika hakuna mtu yeyote aliye juu ya Mungu kwani huu ni ushindi wa Taifa zima.

BRAVO LEMA.
VIVA CHADEMA.
VIVA TANZANIA.
 
Good news that the Blessed man called Godbless won the case, congratulations Godbless, your wife, Chadema, M4C, Members and all supporters. You are all Blessed.
 
garbage in garbage out

sijawahi kujibu hoja za kijinga na kipuuzi ... and i will not reply to any foolishness and what so ever

Kumbe unayajua na ma-terminologies ya computer science???? Aisee....
 
Ndugu yangu MaliNyege polevsaana, ndo politics hizo. Kumbe kuna watu walilelewa CCM? Duh, kivipi? Kwani CCM ina vituo vya orphanage? Sijawahi sikia hili kabisaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…