Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Hongera sana vijana wote...this country belongs to us bwana...vivi cdm
 
HONGERA SANA JEMBE lema. Moto ni ule ule.......kijiji kwa kijiji, kata kwa kata........mpaka kieleweke
 
hongera sana Mh. Lema na hongera pia kwa wanaCDM wote. Leo tumeona jinsi vyombo vya sheria vinavyoweza kufanya kazi yake bila kujali mashinikizo yanayowekwa na SERIKALI na CCM.
Mungu Ibariki TZ
 
There are currently 3632 users browsing this thread. (1310 members and 2322 guests)
 
Naomba kujua, nani anatakiwa kulipa garama za kesi ni CCM au wale waliofungua kesi hii?

gharama za kesi huwa zinalipwa na mfungua shauri. hapa maana yake mkanga na wenzake ndo watalipa hizo gharama.
 

KAMANDA, haina noma man yangu, unajua nn kifaru yangu, yaniiii poa tu yan, au siyo man...yanii japo inauma saaaaaan, lakini enyway no swet, arudi tu kwa viongozi akatubu na akiri kutorudia tena. tutawasikiliza viongozi wetu watakavyotuelekeza nas tutafuata. sis hatuna kinyongo man yangu. tulianza na ukweli na tutamaliza kwa ukweli. anayetaka kumaliza na kalumanzila shaur yake.
 
There are currently 3635 users browsing this thread. (1315 members and 2320 guests)
 
safi sana makamanda lissu na kimomogoro kwa utetezi wa kweli,mafisadi washindwe na walegee
 
Siku zote haki ilishinda dhuluma. Bravo Bravo Bravo!!!!!!!
 
mkuu Ritz yupo, hao wengine sina uhakika.

hapo kwenye viroba sikusapot, piga kaz mwana
Mkuu Kusherekea Lazima maana leo Nachukua Likizo hadi tarehe 03/01/2013 na Mshahara wangu tayari uko Bank nitasherekea noeli na Mwaka mpya kwa Raha maana wapuuzi wameshindwa na watanywea maji Kalai.:majani7:
 
MODS mpigeni BAN huyu member aliye quote majina ya watu humu. Inakera sana hii hasa kwa watumiaji wa simu. Mpigeni BAN kali ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia hii.

na wewe unastahili ban pia umerudia kitu kile kile ..... usingem-quote
 
Hongera sana Lema, hongera CHADEMMA, hongera wananchi wa Arusha kwa kurudishiwa chaguo lenu.
 
M4C HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, Jana kahairisha Mkutano Muleba mjini Jimbo la Mama Tibaijuka hata hivo mkutano umefana sana, tupo pamoja Lema wa Ukweli
 
Pinda ameliongopea taifa by mh.g.j.lema atakavyorudi si ndio itabidi ile ripoti iwekwe hadharani kuthibitisha???sasa upepo umeanza kuvuma kwa kasi ya ajabu!!!!!!!!!!!!!!
 
kila la kheri baba mwanaasha pata habari mewenyewe. Chezea Chadema weye. Pipoooooooooooooooz
 
Hongera CHADEMA kwa kushinda na kuwa na uvumilivu muda wote wa kesi. Haki haipotei hata siku moja ila inacheleweshwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…