Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Daud Muchambuzi,,, nani sasa awekwe mbali na tembo????? by the way nampa hongera Lema na Chadema kwa ujumla kwa ushindi huu
 
Leo nakesha bar kunywa, kula na kucheza music. Nina furaha ya ajabu sana jamani. Peopleeeeeeeeeeeeezzzzzzz ..............
 
mkuu wala usiogope walichomfanya Lema ni kwamba walikua wanampitisha kwenye tanuru la moto, sasa hivi hata ule uoga mdogo aliokua nao umetoweka. kitendo cha kuzunguka nchi nzima na M4C kimemjengea ujasiri zaidi.!!
 
Peopleesssssssssssssssssssssssss atimaye mahakama ya tanzania leo imetupa zawadi ya krismass kwa kumrudishia kamanda lema ubunge wake
 
muda wa kutekeleza ahadi umebaki mdogo. Jaribu kufanya vitu vichache lakini vikamilike. Yale makubwa ya kujenga machinga complex hayawezi kukamilika, labda kufanya maadalizi ya awaliHongera sana
 
Ili kuipa msisimko siasa ya Tanzania na kuwarudisha kwenye msitari viongozi wabovu, vibomu vyote vya kuwalipua mafisadi apewe mh. lema, sio zzk tena! tumemjenga wenyewe (zzk) yeye kajikweza na kujiona yuko juu ya watanzania wote!! ngoja aonyeshwe kwamba tunaweza mpandisha yeyote tumtakaye na kumshusha anayetuboa.
 
piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzz
 
Nakutakia chrismass njema na yenye furaha tele!!
 
Cheating,rushwa,dhuluma na uongo ndivyo vinawapaga ushindi C.c.m otherwise watu wamewachoka kabisa,labda wale wanaofaidika na chama iko dhalimu au ambao hawajuhi ni kwa nini wanaishi ndio wataendelea support c.c.m,HONGERA LEMA!mahakama ya rufaa uwa hakunaga kupelekeshwa na mtu kwa utashi wake au longolongo lake!!aibu kwake
 
hongera sana Godbles lema kwa ushindi mungu akupe maisha marefu ktk kutumikia taifa
 
sasa wasubiri 2015. hivi CCM ina majaji wa aina gani? walisoma wapi?
 
Mambo ya Mungu makubwa!haki haizuiliwi inacheleweshwa,ona jaji kilichomkuta kwakushiriki zulma,Wana jf kumbukeni Arusha tulifunga siku 7 kwa ajili ya haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…