Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Separation of power checks&balance ni kitu muhimu sana ktk nchi yeyote ya kidemokrasia!
 
Ninachoamini mimi ni kwamba haki ya mtu huwezi zuia utaichelewesha tu. Hata dhuluma zote wanazofanyiwa watu wasio na hatia ipo siku wahusika watasimama mbele ya waliowatendea kuzijibu na kuhukumiwa nao.Nawopongeza majaji kwa kazi nzuri kwakuwa mmerudisha hadhi ya mahakama kuu.MAHAKAMA KUU ni mahali patakatifu sio pamchezo kama watu wanavyozani.Tuweke mbali tofauti za kisiasa turudishe heshma ya Taifa letu
 
here are currently 2655 users browsing this thread. (1127 members and 1528 guests)
 
huyu Jaji Lwakibalila aliyetoa hukumu hii ametia aibu (na wengi waliliona hilo tangia awali) kwa watu wa kanda ya ziwa ambao tangia mwanzo walijulikana umahili wao katika mambo ya sheria.
 
Arusha ni bhashasha kwa kwenda mbele!:target::majani7:
 
Pamoja sana..
Nimekutana na makamanda wanaandamana Kinondoni Makaburini wakielekea makao makuu ya CDM. Tunataka M4C kuanzia sasa ili kueneza habari njema ya ukombozi.
 
Dogo anasherehekea X-mass na mwaka mpya kwa mguu wa kulia. hongera Lema, Viva CDM



Umeona hapo majembe yakiwa mahakamani yakifuatilia ushindi dhidi ya dhuruma ya magamba
​
 
mpka sasa wameshazidi hiyo idadi... nadhani NEC yote ya kinana pamoja na PM7 watakuwa wanafaitilia sana hii thread maana ni pigo kwao

There are currently 2229 users browsing this thread. (1025 members and 1204 guests)
 
Hakika saa ya ukombozi imefika. Hongera kamanda Lema. Hongera Chadema. People's power! Asante Mungu kwa matokeo haya.
 
Hakika vita vya ukombozi ndio kwanza inaanza hongera sana kamanda LEMA.
 
Sasa kazi moja tu, UKOMBOZI kwa raia wa nchi. Huku kitaa life gumu cna. Leo na kuendelea...Piii...poo...zi... Pa...wa....
 

aksante baba, jembe lema anaaminika, nimeshakutwanga like yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…