Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Kwa wana janvi wote mulio live, Jamani hii habari ya kweli kwamba tayari majaji wameishatoa ruling kuhusu kesi ya Lema? Mbona media/radio hawajatangaza? Niko nasikiliza RAdio 1 wanipe habari kupitia breaking news yao lakini hawatoi.
 
arusha chereko zimeanza watu peoples bendera mtindo mmoja
 
Hongereni sana! There are currently 2368 users browsing this thread. (1065 members and 1303 guests)!
 

Mkuu yaya Tundu Antipass Lissu ndiye badala ya Mbowe/Rais Slaa
 
Last edited by a moderator:
......Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

.....Chezea Chadema wewe.!!!!!!!...

....
Kivuli hakina rangiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

....Majangili..... wanatafutana..... LUMUMBA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwanga na Giza havina urafiki.Haki haipotei inacheleweshwa tu!
 
Imethibitishwa, ngoja niweke data za kutosha
 
Hongera sana Godbless Lema kwa ushindi wako wa kurudishiwa haki yako uliyokuwa umepokwa na wanaccm. Ama kweli haki haidhulumiwa ila inaweza kucheleshwa tu. Ushindi kwa wanademokrasia ya kweli wote.....

People's ......Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…